Kimenuka wapi? FFU wamepita hapa Tazara na gari tatu na la maji ya kuwasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimenuka wapi? FFU wamepita hapa Tazara na gari tatu na la maji ya kuwasha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba V, Jun 27, 2012.

 1. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ni kama wanaelekea katikati ya jiji! tujuzane wakuu
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Wanaenda Muhimbili National Hospital, wametumwa na waziri mkuu wakatibu wagonjwa.
   
 3. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,858
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Hao wanalao jambo. They wanna drew first blood;
   
 4. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wanaenda kutibu wagonjwa Muhmbili
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ndo style ya LIWALO NA LIWE NINI?
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Inasemekana Muhimbili hali ni tete kuna askari kapokea kichapo alionekana maeneo hayo akiwa na radio call
   
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Welldone !!!
   
 8. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wanaenda kumuokoa mwenzao kapewa kichapo muhimbili na kapoteza radio call ndo wameenda kutuliza gasia hakuna serikal nchi hii
   
 9. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Madaktari chondechonde Kwani pesa zinatafutwa lakini uhai ni inshuuu
   
 10. l

  lutolucy Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaelekea Muhimbili, Mwenzao mmoja kapigwa na amepoteza Radio call ndio hiyo wanaiitafuta.
   
 11. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ndo wanaenda kutafuta radio call yao?
   
 12. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Good..
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  wanaelekea muhimbili kutoa dozi ya washawasha
   
 14. cement

  cement JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  safi sana wanafikiri wale ni wanafunzi wa vyuo!!!!!!!!
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Duh! yameanzia Muhimbili, yataenea sana. LIWALO NA LIWE
   
 16. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzao keshaokolewa, kikubwa hapo ni kuhakikisha usalama wa eneo husika kwa jazba na uzuni ilowajaa wauguzi,baadhi ya wananchi na Madaktari kwa kupigwa na kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa Madaktari Dr.Ulimboka; lkn la muhimu pia ni Radio Call ambayo imepotea na hiyo ni lazma ipatikane kiusalama wa Taifa zima"
   
 17. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,518
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Liwalo na liwe! Wanaeda kutibu wagonjwa mhimbili
   
 18. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Asante sana
   
 19. awp

  awp JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wanaanza muhimbili then mtaa kwa mtaa, mwisho wapangaji kwa wapangaji
   
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama kawa kama dawa LIWALO NA LIWE, Pinda kiboko!
   
Loading...