Ni yupi yupo karibu na wananchi kati ya hawa wawili?

msipende kitu kwa kupitiliza angalieni picture imepigwa wapi na mila / desturi za watu wa hapo zikoje , nnacho kiona hapo ni athari za dini songea wamempokea nape kama mkombozi wakimnukuu issa bin mariam alivyopokelewa akiingia yerusalemu ni desturi imejengeka kwa nduguzetu hawa na huko kusini hali ni hiyo hiyo tunafahamu sote sisi waislamu mambo yetu twayaendeshaje pale tujadilipo jambo muhimu , kula na kadharika ... sisi hukaa chini japo sijui muktadha halisi wa hiyo pic ilipigwa wakati gani maana naona wanaoonekana kwa nyuma ya hiyo picha nikama waliokuja kukshangaa katibu slaa wakati kwenye picha ya mwenezi nape wote wanashiriki kwenye tukio husika
Slaa alikuwa kwenye mnuso wakati nape alikuwa anapokelewa sehemu fulani kwenye sherehe, kuweka kapeti sio tatizo ni maamuzi ya waandaaji, au mlitaka awe anatembelea magoti ndio mseme yuko karibu na wananchi, mie chadema lakini hii naipuuza, bigup wantuzu umeonyesha ukomavu wa kisiasa
 
msipende kitu kwa kupitiliza angalieni picture imepigwa wapi na mila / desturi za watu wa hapo zikoje , nnacho kiona hapo ni athari za dini songea wamempokea nape kama mkombozi wakimnukuu issa bin mariam alivyopokelewa akiingia yerusalemu ni desturi imejengeka kwa nduguzetu hawa na huko kusini hali ni hiyo hiyo tunafahamu sote sisi waislamu mambo yetu twayaendeshaje pale tujadilipo jambo muhimu , kula na kadharika ... Sisi hukaa chini japo sijui muktadha halisi wa hiyo pic ilipigwa wakati gani maana naona wanaoonekana kwa nyuma ya hiyo picha nikama waliokuja kukshangaa katibu slaa wakati kwenye picha ya mwenezi nape wote wanashiriki kwenye tukio husika

kwa hiyo nape ni mkombozi kama alivokuwa issa bin mariam? Je amefanya kipi kizuri hasa mpaka aitwe mkombozi? Na je ni mkombozi wa wap na kama ni mkombozi wa ruvuma anaikomboa kutokana na nini kama siyo sera na falsafa za ccm? Kuna mda inabidi tuache unazi na ushabiki tujadili mambo kwa mapana yake
 
wote wako karibu, picha zote zinafanana tofauti ni mmoja kasimama na mwengine kakaa cchini kwa sababu amechoka kusimama, na ukiangalia vizuri slaa kwekewa kapeti linalofanana na gwanda wakati nape kawekewa kapeti linalofanana na gamba hivyo hakunba tofauti

mbona kwenye kapeti la slaa na wananchi wamekaa lakini kwa mwenzetu anatembea peke yake juu ya zulia la kijani
 
mdogo wangu alex peter kumbuka ukiwa ndani ya msitu huwezi kuuona huo msitu utaona miti ni mpaka utoke ndani ya huo msitu ndipo utakapouona huo msitu kiuhalisia, na aisifiaye mvua mmemnyea.
 
Yaani magamba wanakanyaga pesa!! kuonyesha ni jinsi gani walivyo mafisadi.. Ina maana hawajui kwamba nchi hii wapo watu ambao hawana kipande cha nguo cha kujisitiri.? Kufuru nyingine bana! yaani vitenge vinageuzwa carpet!!!
mwishoe nape atawaambia wambebe kama enzi za mkoloni
 
Kumlinganisha nape na slaa ni kama giza na mwanga,shetani na malaika
 
Back
Top Bottom