Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

Hao unaowazungumzia hapo nawafahamu vilivyo. Sasa ni hivi

Huyo kaka alimpa ruhusa mke wake akamuuguze dada yake, wiki imekatika dada yake bado hali haikuwa nzuri akaomba kuendelea, kilichotokea baada ya hapo sasa. Huyo kaka akaandika kwenye wall yake ya fb "nimemruhusu mke wangu akasalimie wiki moja kaongeza sasa ni wiki ya pili naomba mnishauri nifanyeje?" sasa mtu kama huyo mambo ya yeye na mke wake akayaanike huko hiyo ni nzuri kweli?

lutolucy@ kweli hili suala nimemuuliza ni kitu gani kilichopelekea yeye mpaka akaamua kwenda kwenye wall yake kuomba ushauri na kweli amekiri kufanya hivyo ila siyo kama ulivyoeleza hapo juu yeye kaniambia hivi wakati mkewe akiwa Dar walikuwa wakiwasiliana kama kawaida ilipofika siku ya kurudi kama walivyoagana akamuuliza vipi mwenzangu lina utakuja akamjibu kuwa atakuja jumatatu kwa kumwambia kuwa anamsubiria mdada kutoka dodoma ili aendele na kumwangalia mdada pia kumbuka anasema alikuwa ni mjamzito aliyekuwa akisubiria kujifingua kwa kipindi hicho alikuwa ameshajifungua tayari kwa hiyo hakumwambia kuwa hiyo extension ni kwa ajili ya mzazi.

wiki hiyo ya pili ikawa imepita ikaenda wiki ya tatu ilipofika wiki ya tatu akaendelea kuwasiliana kama kawaida anasema kilichokuwa kinamkwaza ni kwamba mbali na kuwa huko dar mkewe hajawai kumpigia simu kumwambia kinachoendelea mpaka mumewe ampigie ndio anapewa majibu ya kuongeza siku mbele .basi akasema yeye hakujali kwa kuwa ni mtu mzima atajitunza tu.

Pia ansema kuwa ikumbuke kuwa mtoto wao alikuwa ameachwa kwa bibi yake hivyo huyu rafiki yangu alikuwa akimjulia hali kila anapopta huku wakiwasiliana na mama mkwe wake pamoja na mashemeji zake kama kuna kitu kinahitajika aweze kusaidia na ndivyo ilivyokuwa. ilipofika wiki ya nne aliwambia shemeji zake kuwa wamuandae mtoto atakuja kumchukua ili ashinde naye siku ya jumamosi nyumbane kwake. basialivyopiga akapata ushirikiano kwa kuambiwa kuwa hakuna shida kuwa atamfuata.Alivyopiga tena simu kuwa anakuja wakamwambia kuwa mtoto amelala hivyo aje badae kumfuata akasema hakuna shida,ilipofika hiyo baadae akapiga simu tena kuulizia kama yupo tayari akaambiwa kuwa ameenda na bibi yake kwa babu yake kwa hiyo siku hiyo hakuweza kumfuata. kilichokuja mkukwaza mpaka akaenda keweka kwenye wall yake ni pale alipopta bip kutoka kwa mke wake usiku wa saa tatu alivyojaribu kumpigia kujua nini akakumbana na sauti ya mwanae kwenye simu. Alihamaki huku akidhani kuwa huenda mkewe karudi na kufikia kwao hivyo alikuwa akipewa taarifa ili awafuate.na kwakuwa ilikuwa muda wa saa nne akaacha.

kesho yake kuna mdada wa kazi alikuwa amemuacha nyumba basi huyo rafiki yangu akasema awe anakuja tu mchana kwa ajili ya usafi na kuanda chakula ikifika jioni arudi kule aliko mtoto. basi siku ya Jumapili aliporudi muda wa saa nne asubuhi ndipo alipomuuliza vipi mtoto umemuacha kwa bibi yake.yule mdada akamwambia kuwa huyo mtoto hayupo toka jana hivyo walimpeleka kwa mama yake Dar.

Sasa lutolucy... anasema hapo ndipo alipoghabika kwa kusema iweje ukweni wasimwambie ukweli kuwa mtoto alikuwa s
afarini kuelekea Dar kipindi chote cha mawasiliano?ndipo jiuliza kuna nini kinachoendelea mpaka kufika sehemu wanamsafirisha mtoto 200km bila kumtaarifu mzazi mwenza?kweli ameniambia alijiuliza mambo mengi sana.

sema alichokosea zaidi kwenye hili ilibidi ampigie mama mkwe na kumuuliza jamani amewakosea nini mpaka wanamficha mtoto kuhusu safari aliyokuwanayo kwenda dar wakati kipindi cha siku nzima iliyopita walikuwa wakiwasiliana vizuri?Hapo kwa mjibu wa rafiki yangu ndipo alipokuja kuambiwa kuwa mama mkwe hakupendezwa na kusemwa vile kwa kuwa yeye alifuata maelekezo ya mwanae hivyo huyu rafiki yangu hakupashwa kumpigia yeye ila alitakiwa kumpigia mkewe.

hapo ndi tatizo lilipoanzia mpaka kugombana na mkewe kwenye simu sana na kuona kuwa huenda wanamdharau kwa walichomfanyia.
Kwanza mkewe amek
ewe amekaa dar wiki nne bila ridhaa yake ?

pili kwa kipindi chote hicho mkewe hampigi simu ya kumtakia heri yoyote mmewe mpaka mume ampigie?

Tatu kumbuka ni kipindi cha likizo kwa hiyo aliyokuwa ametarajia ayafanye na mkewe hayakutimia kwa kuwa mkewe alikuwa amashawaaga rafiki zake kuwa kipindi cha likizo hatakuwa kwake ila atamalizia Dar.

hivyo ikampelekea kujua kuwa kumuomba ruhusa ya wiki moja ilikuwa geresha tu kwa kuwa yeye alikuwa ameshapanga bila hata kumshirikisha mumewe kitambo na marafiki zake.

Nitaendelea kweli tuliongea mengi na ameniomba nimsaidie yaishe mkewe arudi nyumbani mpaka imefika amekuwa akimtumia ujumbie wa maneno ya biblia ili asome na kusamehe yaishe.mfano alimtumia zaburi:130,Mathayo18:21,wagharatia 6:10 na warumi 15:1-2.

Someni na naendelea
___________________________________________________________________________________________
 
umesomeka Mshuwa bt suala la wanandoa wanapaswa kuwaona watu wazima mean wakongwe ktk ndoa km wachungaji au hta km ni padri. kimsing tunapaswa kuwashaur ili ushaur mkubwa wangeupata toka kwa watu wenye experience kuliko cc tusio ktk ndoa (single)
 
Last edited by a moderator:
mshuwa umeona sasa kwamba ni vitu vingi alikuwa hajakwambia? Haya na polisi je alienda kufanya nini?

Kwenye mgogoro huo umetuambia walishirikishwa Wazazi wa mwanamke, mshenga pamoja na wasimamizi wa Ndoa na mwafaka haujapatikana. sasa aende tu kwa PAROKO nadhani huko watayamaliza.


Ila mshauri rafikiyo kwamba, Ubabe, ubinafsi, dharau na kutaka kuabudiwa na kubwa kushinda yote hayo ni GUBU ambalo analo huyo lafikiyo havina nafac katika maisha haya ya sasa.

Wahenga wanasema, "Mwanaume mpumbavu huaribu nyumba kwa mikono yake mwenyewe" Lakini huyu mwenzetu yeye anaiharibu nyumba yake kwa GUBU.
 
mwambie mwanaume aache ubinafsi........ Sababu za mkewe kuongeza muda zinaeleweka, pia wanandoa hawapeani ruhusa, wanandoa wanazungumza na kupanga.... Ukiwa kwenye ndoa ya mume na mjakazi haitodumu......

Na huyo mwanamke ana makosa kwa kumchukua mtoto kimya kimya, au alimchukua baada ya mume kwenda polisi?

Mke na mume wazungumze, kika mwenye ghubu aliweke kando, kika mmoja amwambie mwenzake nini anataka nini hataki, wakubaliane waanze upya...

Wakiishi kama mume na mke watafanikiwa, ila wakiishi kama mtu na mjakazi wake hawatafika popote....
 
mshuwa umeona sasa kwamba ni vitu vingi alikuwa hajakwambia? Haya na polisi je alienda kufanya nini? Kwenye mgogoro huo umetuambia walishirikishwa Wazazi wa mwanamke, mshenga pamoja na wasimamizi wa Ndoa na mwafaka haujapatikana. sasa aende tu kwa PAROKO nadhani huko watayamaliza. Ila mshauri rafikiyo kwamba, Ubabe, ubinafsi, dharau na kutaka kuabudiwa na kubwa kushinda yote hayo ni GUBU ambalo analo huyo lafikiyo havina nafac katika maisha haya ya sasa. Wahenga wanasema, "Mwanaume mpumbavu huaribu nyumba kwa mikono yake mwenyewe" Lakini huyu mwenzetu yeye anaiharibu nyumba yake kwa GUBU.
Nashukuru sana kwa kupata nafasi hii tena ya kuongelea juu ya polisi.Aliniambia hivi baada ya kuwa amerudi kutoka dar wiki ya tano alifikia kwao hivyo kesho yake akatoka kazini na kuja nyumbani kwa mumewe alipofika akapigiwa simu mumewe aliye kazini na kuambiwa kuwa mkeo yupo nyumbani nikasema sasa huyo anataka nini tena wakati tumeshwasiliana na familia yake juu ya yaliyotokea hivyo ikabidi amsubirie arudi.Mumewe alivyorudi hawakuelewana hivyo akasema kuwa amruhusu basi aingie chumbani ili achukuwe nguo hilo nalo rafiki yangu hakuliafiki hivyo ikabidia mkewe aondoke pamoja na mdada wa kazi na kurudi kwao
 
mshuwa umeona sasa kwamba ni vitu vingi alikuwa hajakwambia? Haya na polisi je alienda kufanya nini? Naomba nieleze maelezo ya rafiki yangu juu ya yeye kwenda polis.Anasema baada ya mke wake kurudi alifikia kwao kama walivyokuwa wamekubaliana na siku iliyofuata aliena kzini kama kawaida jioni akawa amekuja mojamoja kwa nyumbani kwa mume wake japo hakumkuta ikabidi amsubirie mpaka aliporudi. mara tu ya kufika anasema alimkuta ameshamuandaa mdada wa kazi kwa ajili ya kuondoka hivyo hata maongezi waliyoyaongea hayakuzaa matunda na yeye hakuna haja ya kuendelea kuongea kwa kuwa tayari wazee walikuwa kwenye mchakato wa kulishughulikia. Hivyo mke wake akamuomba aingine chumbani ili achukuwe nguo lakini jamaa yangu huyo hakumruhusu kwa kuwa alimwambia kuwa kwakuwa kila kitu kiliingia kwa amani na upendo hivyo asingeweza kuruhu kitu kichukuliwe katika mazingira ya shari ili baadae iwe kama elekezi kuwa hata nguo na vitu vyake alimpa ili kuthibitisho uondokaje wake. Hivyo mke akaondoka na mdada wa kazi baada ya siku kama mbili hivi jamaa yangu alipigiwa simu na mtu mmoja kuwa awahi nyumba kwake kwa kuwa mkewe ameomba gari kwa mfanyakazi mwenzie na ameaga kuwa ameenda kuchukuwa vitu vyake.hivyo rafiki yangu akachukuwa usafiri faster kwenda nyumbani kwake ile tu kufika kumbe mwenzie alikuwa ameshamaliza kazi ya kusomba vitu vyote walivyozaiwadiwa kwenye harusi na kuachia vile vitu vyake tu alivyokuwa ameanza nanvyo maisha. baada ya hapo ikabidi awasiliane na wazee ndipo walipo mshauri aende akatoe repoti polisi kwa kuwa hawajui aliyekuja naye kuvunja milango ya vyumbani na nini kitaendelea baadae.hivyo hata alipofika polisi hakwenda kama kwenda kufungua jarada lolote na ndio maana anasema baada ya kufika alisema kuwa mkewe ndiye aliyechukuwa vitu kwa kuwa kama angetaja kuwa hamfahamu aliyeiba basi hata ile gari iliyotuika kuja kuvunja milango mwenye gari angekuwa halitumii mpaka leo kama sehemu ya kithibi kilichotumika sehemu ya tukio. na ndo maana rafiki anasema aliamua kurudi zake kazini huku akiwaomba wazee wake waendee kulkeza hilo kwa kuwa tayari walikuwakiendelea na mazungumzo ya matukio ya nyuma. Sasa hata ungekuwa wewe lutolucy sema ukweli ungekuwa ni wewe ungefanya nini from bottomm of your heart bila kuegemea upande wowte kwa tukio kama hilo la kuja na kuvunja mlango. Ila nilipomuuliza rafiki yangu alisema hata baada ya vikao vyote alimsamehe na kumakribisha arudi tu kwa kuwa anaamini kabisa kilichombadilisha mkewe ni watu ambao yeye mwenyewe hajui yametokana na nini. Hata muda huu kwenye comment yako ya ugubu anasema haone kitu kama hicho anasema kuwa mbona ni suala limeanza ghafla tu na hakikuwepo siku zote? pia ansema kama anavyosema kuwa yeye ni rafiki wa mikusanyiko ya pombe ina maana hata kazini kuna mikusanyiko ya pombe?pia anauliza kuwa mbona hata kipindi cha uchumba marafikk zake walikuwa wakimwambia kuwa ndugu yako kweli mnywaji lakini mbona hakukatisha uamuzi wake wa kuendelea na ndoa?Pia anasema kama kweli hilo ndilo kilikuwa kikwazo mbona waliweza kufanya hayo mambo ya maana wakiwa wote leo hii aseme kuwa mumewe ni mbinafsi,mbabe? Kweli suala hili limeniumiza sana na nimemuahidi kuwa nitampa mawazo yangu baada ya siku mbi na yeye hayuko tayari kuachana na huyo mwanamke na ndio maana amekuwa yeye kila siku akipenda wakutane na kuyaongea tatizo mkee hataki kusikia lolote pia anasema kinachomuumiza zaidi ni huyo mtoto wao wa kiume ambaye ndio kwanza amefikisha miaka mitatu majuzi kwa nini aishi katika maisha ya namna hii. kweli jamaa anasema anampenda sana mkewe na hapendezwi na tabia ambao kwa sasa amekuwa akiifanya ya kutokaa basi nyumbani kwao amekuwa ni mtu wa yeye kuwa nasafari zisizoisha kila wikendi ni wa kwenda dar na kuri jumatatu na kupitiliza kazini au mtu wa kurudi nyumbani usiku wakati akijua kuwa bado ni mke wa mtu. hii inampa picha gani mama yake anapoona hayo?kweli inamuumiza sana. anasema mwajuzi tu alitembelewa na mdogo wa mke wake juu ya kumshirikisha hatua ambayo amehsifanya ya kumuomba mama yake wakae kama familia wamuombe arudi kwenye ndoa yake kwa kuwa kama ni hasira anzosema zimeisha lakini kwakuwa amekuwa ni mtu wa safari wameshindwa hata kukaa naye. mwisho kabisa mpaka jamaa yangu kuja kwangu ni juzi tu aliamua kwenda kuongea na baba yake huyo mdogo na kumwambia mambo amabyo tayari yeye na shemeji yake walichokuwa wamkeiamua na baba yake kumuahidi kulifuatilia lakini jibu alilolipata kwa baba yake huyo mdogo ni kwamba baada ya kuongea na mama mkwe wake alimjibu kuwa anaona mwenzie hajawa tayari kurejea kwa mwenzie ndi baba yake mdogo alipomwambia kuwa basi mshirikishe mungu atakusaidia kwa kuwa yeye ndie aliwezesha hata hiyo ndoa kufanikiwa na kutolea mfano mbona kuna watu wengi wana mahusiano ya muda mrefu lakini hawafungi ndoa? sasa jibu hilo ndilo lilomkatisha tamaa kama hatua zote hizo zimefanyika mke hataki kurudi nyuma afanye nini? Na pia anasema amgusuia baba yake huyo mkwe suala la kwenda kanisani baba yake huyo hakuafiki akisema kuwa atakuwa amelifikisha hatua kubwa wakati mambo yao ni madogo kuliko ambayo yamewakuta wengi. Angalizo:jamani na hili lisije uafisiriwa vibaya kama lilivyotafisirwa la kwake alipoamua kuliwasirisha kwa wall yake fbn hili limewekwa hapa kwa ajili ya kusaidia utatuzi wa ndoa hii pia tambua hili limemtokea rafiki yangu linaweza kuwa lipo kwa mwingine au limeshamtokea mwingi hivyo kupeana uzoegfu pia utamsaidia rafiki yangu kuondokana na huyu ibilisi wa kutenagnisha ndoa. Ananiambia anampenda sana na hataki wafike zaidi ya hapo walipofika na hayuko tayari kutengana japo upande wa mke hata pete ya ndoa na uchumba alishavua siku nyingi. Naomba nieleze maelezo ya rafiki yangu juu ya yeye kwenda polis.Anasema baada ya mke wake kurudi alifikia kwao kama walivyokuwa wamekubaliana na siku iliyofuata aliena kzini kama kawaida jioni akawa amekuja mojamoja kwa nyumbani kwa mume wake japo hakumkuta ikabidi amsubirie mpaka aliporudi. mara tu ya kufika anasema alimkuta ameshamuandaa mdada wa kazi kwa ajili ya kuondoka hivyo hata maongezi waliyoyaongea hayakuzaa matunda na yeye hakuna haja ya kuendelea kuongea kwa kuwa tayari wazee walikuwa kwenye mchakato wa kulishughulikia. Hivyo mke wake akamuomba aingine chumbani ili achukuwe nguo lakini jamaa yangu huyo hakumruhusu kwa kuwa alimwambia kuwa kwakuwa kila kitu kiliingia kwa amani na upendo hivyo asingeweza kuruhu kitu kichukuliwe katika mazingira ya shari ili baadae iwe kama elekezi kuwa hata nguo na vitu vyake alimpa ili kuthibitisho uondokaje wake. Hivyo mke akaondoka na mdada wa kazi baada ya siku kama mbili hivi jamaa yangu alipigiwa simu na mtu mmoja kuwa awahi nyumba kwake kwa kuwa mkewe ameomba gari kwa mfanyakazi mwenzie na ameaga kuwa ameenda kuchukuwa vitu vyake.hivyo rafiki yangu akachukuwa usafiri faster kwenda nyumbani kwake ile tu kufika kumbe mwenzie alikuwa ameshamaliza kazi ya kusomba vitu vyote walivyozaiwadiwa kwenye harusi na kuachia vile vitu vyake tu alivyokuwa ameanza nanvyo maisha. baada ya hapo ikabidi awasiliane na wazee ndipo walipo mshauri aende akatoe repoti polisi kwa kuwa hawajui aliyekuja naye kuvunja milango ya vyumbani na nini kitaendelea baadae.hivyo hata alipofika polisi hakwenda kama kwenda kufungua jarada lolote na ndio maana anasema baada ya kufika alisema kuwa mkewe ndiye aliyechukuwa vitu kwa kuwa kama angetaja kuwa hamfahamu aliyeiba basi hata ile gari iliyotuika kuja kuvunja milango mwenye gari angekuwa halitumii mpaka leo kama sehemu ya kithibi kilichotumika sehemu ya tukio. na ndo maana rafiki anasema aliamua kurudi zake kazini huku akiwaomba wazee wake waendee kulkeza hilo kwa kuwa tayari walikuwakiendelea na mazungumzo ya matukio ya nyuma. Sasa hata ungekuwa wewe lutolucy sema ukweli ungekuwa ni wewe ungefanya nini from bottomm of your heart bila kuegemea upande wowte kwa tukio kama hilo la kuja na kuvunja mlango. Ila nilipomuuliza rafiki yangu alisema hata baada ya vikao vyote alimsamehe na kumakribisha arudi tu kwa kuwa anaamini kabisa kilichombadilisha mkewe ni watu ambao yeye mwenyewe hajui yametokana na nini. Hata muda huu kwenye comment yako ya ugubu anasema haone kitu kama hicho anasema kuwa mbona ni suala limeanza ghafla tu na hakikuwepo siku zote? pia ansema kama anavyosema kuwa yeye ni rafiki wa mikusanyiko ya pombe ina maana hata kazini kuna mikusanyiko ya pombe?pia anauliza kuwa mbona hata kipindi cha uchumba marafikk zake walikuwa wakimwambia kuwa ndugu yako kweli mnywaji lakini mbona hakukatisha uamuzi wake wa kuendelea na ndoa?Pia anasema kama kweli hilo ndilo kilikuwa kikwazo mbona waliweza kufanya hayo mambo ya maana wakiwa wote leo hii aseme kuwa mumewe ni mbinafsi,mbabe? Kweli suala hili limeniumiza sana na nimemuahidi kuwa nitampa mawazo yangu baada ya siku mbi na yeye hayuko tayari kuachana na huyo mwanamke na ndio maana amekuwa yeye kila siku akipenda wakutane na kuyaongea tatizo mkee hataki kusikia lolote pia anasema kinachomuumiza zaidi ni huyo mtoto wao wa kiume ambaye ndio kwanza amefikisha miaka mitatu majuzi kwa nini aishi katika maisha ya namna hii. kweli jamaa anasema anampenda sana mkewe na hapendezwi na tabia ambao kwa sasa amekuwa akiifanya ya kutokaa basi nyumbani kwao amekuwa ni mtu wa yeye kuwa nasafari zisizoisha kila wikendi ni wa kwenda dar na kuri jumatatu na kupitiliza kazini au mtu wa kurudi nyumbani usiku wakati akijua kuwa bado ni mke wa mtu. hii inampa picha gani mama yake anapoona hayo?kweli inamuumiza sana. anasema mwajuzi tu alitembelewa na mdogo wa mke wake juu ya kumshirikisha hatua ambayo amehsifanya ya kumuomba mama yake wakae kama familia wamuombe arudi kwenye ndoa yake kwa kuwa kama ni hasira anzosema zimeisha lakini kwakuwa amekuwa ni mtu wa safari wameshindwa hata kukaa naye. mwisho kabisa mpaka jamaa yangu kuja kwangu ni juzi tu aliamua kwenda kuongea na baba yake huyo mdogo na kumwambia mambo amabyo tayari yeye na shemeji yake walichokuwa wamkeiamua na baba yake kumuahidi kulifuatilia lakini jibu alilolipata kwa baba yake huyo mdogo ni kwamba baada ya kuongea na mama mkwe wake alimjibu kuwa anaona mwenzie hajawa tayari kurejea kwa mwenzie ndi baba yake mdogo alipomwambia kuwa basi mshirikishe mungu atakusaidia kwa kuwa yeye ndie aliwezesha hata hiyo ndoa kufanikiwa na kutolea mfano mbona kuna watu wengi wana mahusiano ya muda mrefu lakini hawafungi ndoa? sasa jibu hilo ndilo lilomkatisha tamaa kama hatua zote hizo zimefanyika mke hataki kurudi nyuma afanye nini? Na pia anasema amgusuia baba yake huyo mkwe suala la kwenda kanisani baba yake huyo hakuafiki akisema kuwa atakuwa amelifikisha hatua kubwa wakati mambo yao ni madogo kuliko ambayo yamewakuta wengi. Angalizo:jamani na hili lisije uafisiriwa vibaya kama lilivyotafisirwa la kwake alipoamua kuliwasirisha kwa wall yake fbn hili limewekwa hapa kwa ajili ya kusaidia utatuzi wa ndoa hii pia tambua hili limemtokea rafiki yangu linaweza kuwa lipo kwa mwingine au limeshamtokea mwingi hivyo kupeana uzoegfu pia utamsaidia rafiki yangu kuondokana na huyu ibilisi wa kutenagnisha ndoa. Ananiambia anampenda sana na hataki wafike zaidi ya hapo walipofika na hayuko tayari kutengana japo upande wa mke hata pete ya ndoa na uchumba alishavua siku nyingi.
 
Wakuu heshima Kwenu wote. wakuu nimeleta maada hii kutokana na yaliyomkuta rafiki yangu wa karibu aliyefunga ndoa mwaka 2008 na sasa anateseka nayo baada ya mke kuondoka na kurudi kwao na kupokelewa kwa furaha na upendo. hii imeshitusha kwa kuwa nami nilikuwa nikiwa kwenye mchakato wa kutafuta mwenza wa kufa na kuzikana.

tarrifa yenyewe ni kama hivi ifuatavyo kama alivyonihusisha..

Yeye na mke wake walikuwa kwenye mahusiano kabla ya kufikia maamuzi ya kuwa mwili mmoja kwa muda wa miaka mitatu toka 2006 mpaka novemba 2008 ambapo waliamua kuhararisha mahusiano yao kwa kufunga ndoa ya kanisani na kubwa iliyopongezwa na watu wote walioshuhudia decemba 2008.

toka hapo ndoa ilikuwa ya raha na furaha tele pia wamejariwa kupata mtoto mzuri anayefanana nayo wa kiume ndani ya ndoa mwaka uliofuata ambapo kwa sasa ametimiza miaka 3.

ndugu yangu anacholalamika ni kuwa huyu mke wake alikuwa na tabia ya kuwa kila anapojisikia anarudi nyumba kwao hata akikatazwa na mume wake alikuwa hasiki wakiongea leo kuhusu hili kesho utasikia nipo nyumbani baadae ikabidi akubaliane na hali halisia.

uvumilivu huwa ulimuisha mwezi wa tatu pale mke wake alipooomba likizo kazini kwake na kumuumba mume we kuwa dada yake Dar anaumwa hivyo anaomba ruhusa ya wiki moja aende kumuuguza na alimkubalia kwa upendo wote.Ndugu yaangu kilichompata ni kuwa toka alivyooondoka huko hakurudi mpaka likizo ilipoisha na ariporudi amekuja moja kwa moja kwao nahivi ninavyoelezea haya yuko kwako.

ndugu yangu alijitahidi kufuyata taratibu zote za kujua hatima ya yote kupitia kwa washenga kwenda kuongea na wazaze wake kuonge na wasimamizi wa ndoa na sasa anategemea kwenda kwa paroko kujua hatma ya ndoa yake.

Zaidi ni maneno machafu anayoongea huyo mkewe kwa kumwambia kuwa hajawahi kuwa mume wake na kama alikuwa imekuwa ni historia na alimviazia akiwa kazini akaja nyumbani kuvunja nyumba nakuchukuwa vitu vyote walivyozawadiwa kwenye harusi na sendoff nakuvipeleka kwao.

ni mengi ya kuongelea hapa kutokana na maelezo ya rafiki yangu. Sasa kwa kuwa humu kuna waumini na wazoefu wa mambo haya naomba ushauri rafiki yangu afenyeje kunusuru ndoa yake yeye hataki ivunjike japo mke anaeema hatarudi na hataki kumsikiliza mtu yeyote.

kumbuka ni ushauri unaotakiwa hasa kwa wale walio waumini na wafahamu taratibu zote za kutengana hasa ndugu yangu anapotaka kuliwasilisha kwa paroko kama sehemu ya mwisho ya usuluhishi.


Mimi si muumini wa upande huo lakini kabla ya kwenda kwa Paroko si kawaida kuwa rafiki na jamaa hutowa msaada? Na hapo ndio nachukuwa nafasi ya kuchangia.
Mwambie rafiki yako kuwa binaadamu huwa tuna taka vingi lakini vinatushinda kwa sababu mbali mbali. Achukulie hiyo ndowa yake kama ni kitu kimoja wapo ambacho lazima akikose kwa vile ndowa si jambo la upande mmoja. Upande mmoja ukiwa hauitaki ndowa basi haina Paroko wala Shehe, ni muflisi tu.
 
lolyz, lutolucy yuko sahihi kabisa maana hata mimi naifahamu vizuri stori hii au nawafahamu vizuri watu anaowazungumzia mshuwa. katika yote aliyozungumza kutoka kwa rafiki yake nadhani huyo rafikiye amejitengenezea uhalali wa kuonewa huruma na kuonekana yuko safi na kuacha yale ambayo yeye ndio mtendaji mkubwa na kuwa mvurugaji namba moja wa ndoa yake mwenyewe. labda ushari wangu kwako Mshuwa ni kurudi kwa rafikiyo na uongee naye vizuri na kumuomba akueleze ukweli maana ni ukweli tu ndio utakaomuweka huru na sivinginevyo.
 
Hao unaowazungumzia hapo nawafahamu vilivyo. Sasa ni hivi

Huyo kaka alimpa ruhusa mke wake akamuuguze dada yake, wiki imekatika dada yake bado hali haikuwa nzuri akaomba kuendelea, kilichotokea baada ya hapo sasa. Huyo kaka akaandika kwenye wall yake ya fb "nimemruhusu mke wangu akasalimie wiki moja kaongeza sasa ni wiki ya pili naomba mnishauri nifanyeje?" sasa mtu kama huyo mambo ya yeye na mke wake akayaanike huko hiyo ni nzuri kweli?

Toka hapo mahusiano yakawa sio mazuri, akamwambia "ukirudi usifikie nyumbani kwangu", mkewe alivyorudi akafikia nyumbani kwao. baada ya hapo akaenda nyumbani kwa mme wake akachukua vitu vyake ambavyo alipewa zawadi kwenye kitchen part yake pamoja na send of yake. Huyo kaka kuona hivyo akaamua kwenda POLISI moja kwa moja kumshtaki yule mwanamke kwamba kamuuibia nguo zake za mtoto pamoja na hela. Baada ya kufungua hiyo kesi hakurudi tena POLISI. akaanza kutangaza kwamba mwanamke simtaki nirudishiwe mahali yangu.

Huyo kaka ni mnyanyasaji vibaya mno, katika maisha tunayoishi tunatakiwa kushirikiana na wenzetu na hasa majirani zetu. huyo kaka hataki kujishughulisha na chochote kuhusu jamii inayomzunguka, na huyo mke wake hapendezewi na hiyo tabia, kuna leo na kesho na wakukuwahi ni majirani kabla ya ndugu zako kufika. sasa huyo kaka hana mahusiano mazuri na watu inafikia kipindi haendi kwenye shughuri yeyote ile ambayo haina pombe. Alafu huwa anamtolea maneno ya kashfa sana mke wake kama vile alilazimishwa kumuoa.


Yaani kuna mengi ambayo huyo kaka hajakwambia. Kukosea kupo aombe tu radhi yaishe asiendelee kuyaweka haya mambo yakawa makubwa.
utamu wa the othr side v the story huuuo, wadau sasa, fungukeni
 
you have to be very makini before you say anything kuhusu ugomvi wowote wa ndoa............. usisikilize a one sided story halafu ukaanza kujudge hata siku moja- kuna mtu aliwahi kusema katika ugomvi wa kwenye ndoa, there are three sides of a story-story ya mume, story ya mke na story ya ukweli........!!!!
 
Njoo ufanyiwe maombiiiii, njoo uombewe, ukiombewa tatizo lako ni dogo!! nahisi kama hakuna tatizo, tunayakuza. Waanze kuombeana wenyewe mapepo waliyonayo yaishe.
 
Ndoa kwa tafsiri ni makubaliano ya watu wawili Wa jinsia tofauti waliokubaliana kuishi kwa pamoja ktk shida na raha.Hapa kanisa linahisika tu ktk ushahidi kwa kuwafungisha ndoa.Ikitokea mmoja ameamua kuishi peke yake hapo ndipo tatizo linapoanzia.Kwa maoni yangu;
•Inawezekana kabisa mwanamke wa huyu Jamaa ameshapata mwanaume mwingine anaemrubuni
•Tabia aliyoionyesha ya kuvizia wakati mume hayupo na yeye mwanamke kuvunja mlango tafsiri hapa kaonyesha tabia ya mbaya ya wizi
•Maneno aliyoyazungumza huyo mwananmke kuwa"mimi sio mkeo Kama ni ndoa ilikuwa ni historia"hii inadhihirisha kuwa kweli iwe iwavyo huyu mwanamama keshampata anaeridhika nae Ila sio mmewe,uaminifu hapa ndani ya ndoa umeota manyoya.
•Ukiendelea kung'ang'ania ndoa ya namna hii athari zipo nyingi na kubwa kuliko yote ni magonjwa kama UKIMWI utakaowapoteza wote hapo baba/mama na hapo maisha ya mtoto huanza kuvurugika kuanzia hapo.

Niaminivyo mimi kama Mkristo ninaefikiri zaidi dini ni imani tu ya mtu.Nntaenda kanisani kumpa Paroko/Padri taarifa za mambo yote na sintohitaji busara zake(nnajua ataniambia ndoa ni kuvumiliana)sababu madhara yatanihusu mimi moja kwa moja.Nntamwambia nia na sababu za kuvunja ndoa yangu ninazo.Mtoto nntajua nimpeleke wapi,na nntaanza maisha mapya pengine huyo sio chaguo langu.Kupo kupenda/kuvumiliana Ila mambo yakizidi kiasi yataathiri maisha yangu sintosita kuchukua hatua mapema sababu maisha Yangu ni zaidi na yanayothamani kubwa kwangu.
 
mmmmmh sio bure huyo kuna kitu kuna namnaaaaaaaa
 
mnajisumbua bure tu ugomvi wa ndoa unamalizwa na wanadoa wenyewe wala sio watu wa kati! Tafuteni kazi za kufanya tu inaonekana mke ni tatizo na mwanaume ni tatizo kwa kuendekeza ulevi! Wagombanao ndio wapatanao!
 
hayo ni maeezo kutoka kwa rafiki yako,je maelezo ya mkewe unayajua?hakuna mtu anaweza kujua kiichojiri bia kukutana na wote wawili wakiwa pamoja!hizi kuta za nyumba zinaficha mengi,jaribuni kuwakutanisha kwa pamoja,usije kushangaa ukaja kukuta sababu ni tofauti kabisa na anzaokupa mwanaume!

You have a point to make here. Sidhani kama huyo mwanamke amerukwa na akili hali inayomsukuma asipende kuendelea kuishi na huyo rafiki yako. Pata story ya upande wa pili ni kwa nini mwanamke ameamua hivyo uje utueleze hapa halafu ndio sasa tutaweza kutoa ushauri wenye maana. Lakini hii habari ya upande mmoja, nachagua kukaa kimya.

Tiba
 
Back
Top Bottom