Recent content by luteadam

  1. L

    BRELA Mnazingua sana

    Siku ya jmoc niliupdate information za business name (mwanzo ilifanyika manually). Leo nimetumiwa taarifa ya kudaiwa 115,000/= km maintainance fee na hiyo ni since 1996. Hii inamaanisha kwa mwaka ni 5,000/= (its true, current price). Nimewapigia simu kujua km tangu 1996 charge ilikuwa ni hiyo...
  2. L

    NATAFUTA LAPTOP, NIPO MOSHI

    Ipo fujitsu stylistic Q702. Ni Core I5. Bei 650,000/=. Ram 4, HDD 325 . Ukitaka kuijua vzuri ingia you tube.
  3. L

    Wale wote ambao vitambulisho vyetu vya Taifa havina sahihi tukutane hapa

    Kuna siku nilienda bank ya DTB Mkoa fulani hivi kwa ajiri ya kuchukua pesa zilizotumwa kutoka nchi fulani hivi, nikajibiwa kitambulisho cha Taifa hakiwezi tumika kwa sababu hakina sahihi. Kwa hiyo hivi vitambulisho kuna baadhi ya maeneo havitumiki. Kuweni makini Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

    Video clip inayooendelea kusambaa ikimwonesha Sepede akifanya yake ina takribani wiki ila baraza la sanaa lipo kimya mpaka sasa. Kwa kumbu kumbu za haraka haraka ilipotokea issue ya nandy na billnas hawa jamaa fasta waliwaaita. Vp kunani kwa sepenga.
  5. L

    Serikali naona sasa inaanza kutengeneza monopoly system kwenye baadhi ya mambo

    Serikali naona sasa inaanza kutengeneza monopoly system kwenye baadhi ya mambo. Ukitizama suala la visumbusi kwa jicho la tatu unapata mfano hai ambao ni ngumu hata kukanusha juu ya hili. 1) Gharama ya visumbusi ilikuwa ni kati ya elf 55 - 60 kabla ya kufutwa kwa channel za bure kwe baadhi ya...
  6. L

    JamiiForums Usiku wa manane

    At oxygen lounge tabora muda huu just cruisin with a live band.
  7. L

    Ulipoingia mfumo wa vyama vingi kwa nini mali za Chama Tawala ziliendelea kuwa Chini ya umiliki wa chama hicho mpaka hivi sasa?

    Wakati wa mfumo wa chama kimoja CCM ilikuwa ikimiliki mali karibia kila kona ya nchi hii, mpaka leo hii binafsi sijui vyanzo vya mapato ya upatikanaji wa mali hizo. Huwa najiuliza tu km vyanzo ilikuwa ni kodi kutoka kwa wananchi (enzi zile) basi kwa nini mali hizo zisirudi serikalini baada ya...
  8. L

    Huenda yanayoendelea Nchini ni maandalizi ya mtu kutawala milele

    Kila movement inayofanyika ni ya kuhakikisha Serikali inakuwa na nguvu ya kutopingwa ama kukwamishwa kwa jambo lolote. Kwa mfano hili la kutaka kuua vyuo vikuu binafsi huenda ni sehemu ya mkakati wao mchafu. Pia hili la kuhakikisha baada ya muda fulani hakuna yeyote atakayemiliki pesa nyingi na...
  9. L

    Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Hapa naona vijana wa lumumba povu linawatoka kana kwamba wanajua nini kinafuata.
  10. L

    Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

    This is bullshit. Halaf wanajinadi eti wako vzuri kwenye investigation, labda investigation ma ass
  11. L

    Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

    Hapa ndipo ninapoamini 100% yakuwa ile phd ni ya maganda ya korosho.
  12. L

    Makinikia; Kama Tumeshindwa, Lissu Aombwe Radhi kwa Kutosikiwa na Kuchafuliwa

    Wajinga wameniudhi sana. Yaani wamekatisha kabisa ndoto zetu za kumiliki magari. Wajinga kabisa
  13. L

    Hivi Makinikia ndo tumepigwa Knock out au mbona majigambo siyasikii kuwashinda wale wanaume? Au ni Siri

    Hizi ni kauli za kichochezi kabisa. Jumatatu tukutane central kwa mahojiano
Back
Top Bottom