Recent content by lutayega

  1. lutayega

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform no election
  2. lutayega

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Kwa kuangalia kwa macho, mzigo wa Bony ni mwingi, ila tusubilie muujiza
  3. lutayega

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Bustani ya Miti ya Matunda katika Nyumba

    Nimshukurubaliyeanzisha huu Uzi, nilichukua hii idea na kuifanyia kazi mwaka 2016, kwasasa nyumbani kwangu Kuna matunda yafuatayo ambayo yameshaanza kuzaa Toka mwaka 2022 1. Mipera 2 2. Chungwa 3 3. Chenza 2 3. Miembe 6 4. Komamanga 4 5. Stakafeli 2 6. Zaituni 1 7. Parachichi 2 8. Papai 3 9...
  4. lutayega

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Shusha nondo Mkuu, wasikukatishe tamaa, malizia hiki kisa
  5. lutayega

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya dawa za kuondoa magugu shambani

    Naomba kusaidiwa dawa nayoweza kutumia kwaajili ya palizi kwenye mihogo
  6. lutayega

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    Refa amalize mpira wengine tunatoka mbali
  7. lutayega

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    Bado dakika ngapi kumalizika mpira
  8. lutayega

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    Bado dakika ngapi kumalizika mpira
  9. lutayega

    JamiiForums Tanzania Nilijifundisha programming kwa namna hii

    Natamani kujifunza hii kitu ilasijui naanzaje
  10. lutayega

    JamiiForums Tanzania Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    Kigoma umekata Toka saa 8 usiku Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  11. lutayega

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Chukua asplin 0.5, Diclofenac 0.5, ampiclo 0.5 tafuna vyote kwa pamoja usimeze ila bumbika mdomoni kwa dakika 5 ndio uteme, Kisha piga mswaki kwa kutumia dawa ya Colgate nyeupe na usioshe mdomo mpaka ipite nusu saa. Fanya zoezi hilo kutwa mara tatu, kwa siku 7. Kama jino halitopona kabisa nenda...
  12. lutayega

    JamiiForums Tanzania Parachichi kwa walioko Mby

    Vipi uhakika wa masokonya parachichi kwa Mkoa wa Kigoma
  13. lutayega

    JamiiForums Tanzania Toyota Raum Review: Karibu tupeane uzoefu kuhusu gari hili

    Gari zuri sana changamoto sliding door tu
  14. lutayega

    JamiiForums Tanzania NEMA 1993 Ilikumbusha TANU 1954

    Nyerere kama aliweza kumshinda Abdul aliyekuwa mwandamizi ndani ya TAA bila shaka alikuwa na kitu Cha ziada katika uongozi
  15. lutayega

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Licha ya kufanya uwekezaji, tusisahau kilimo
Back
Top Bottom