Parachichi kwa walioko Mby | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Parachichi kwa walioko Mby

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Malila, Apr 30, 2012.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kwa mlioko Mby hasa kipande cha Rungwe/Tukuyu. Kuna jamaa toka SA ana shamba kubwa la kufa mtu la parachichi. Mwanzo alivyoanza alitangaza kwamba atanunua kilo moja kwa tsh 2500/. Ukinunua miche toka kwake bei ni ndogo sana na inazaa baada ya 2.5yrs au mitatu na utamuuzia yy. Ukinunua kwake miche na ukawa huru kuuza kokote mche ni Tsh 3000/.

  Ana-plan kujenga plant ndogo ya ku-process hayo Matunda mitaa ya kiwira. Haya jamaa zangu Banyambala mshindwe wenyewe. Nimeogopa kuiba picha za shamba lenyewe, maana alichoniitia sio hicho.
   
 2. o

  ommy15 Senior Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu kwa taarifa.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Asante kaka...kila kitu tunaweza baada ya kuwezeshwa. Huyo lazima atakuwa muwekezaji!!
   
 4. remon

  remon JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 295
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimeisha sikia habari zake huyu kaburu!! ndy tuamke watanzania. pamoja nchi yetu shida ni mitaji tuko wengi wenye plan km hzi ila kwa kupata mitaji ndy shida mabank yenyewe ukiritimba mtupu....
   
Loading...