J. K, anastaili Pongezi kwa mazuri aliyo yafanya kwa muda wa miaka 10 akiwa kiongozi wa nchi yetu Tanzania.
Japo mapungufu yapo ila alikuwa na uwezo wa kuhimili changamoto hizo.
Ni kiongozi mwenye busara, mwenye kusikiliza michango ya watu wake, mwenye hekima na maarifa.
Mimi binafsi...
Dah ndg yang unatia huruma,,, familia yenyew ndogo hiyo.
Anyway..
Jitahd kukaa chin na mke wako na kuandika vitu vya kufanya ndan ya mwez mmoja.
Pia banki kubwa n mke wako.. Mpatie hizo hela ww baki na chache tuu
3.punguza kuhold money in cash coz Ina sababisha consumption kuongezeka.
HoJA zako hazina mashiko kabisa.
Mtu akishindwa ubunge anakuwa ame be disqualified kabisa????
Hapana,, bado wapo wengi tuu wazur. Mfano DC wa wilaya ya Nkasi,, amekaa siku 10 tuuu lkn ame fanya maaendeleo angalau.. Kuliko mtu alie kaa miaka mitano.
Vigezo viko Vizur kwa sababu huwez kusimamia watu wenye magpa makubwa then ww una GPA ya 3.0. It doesn't make sense. Una kuwa supervisor wa undergraduate kwenye research lazima GPA iwe vzr.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.