Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,753
- 239,414
Wakuu natanguliza salamu .
Kabla ya yote I declare my own interest kwamba mimi ni raia wa Tanzania wa kuzaliwa ( sikununua uraia ) , hivyo bila shaka yoyote ninayo haki ya kufuatilia viongozi wa nchi hii wanaoteuliwa na Mh Rais.
Hivyo basi nimejitokeza kwenye jukwaa hili lililojaa mafundi wa kila aina kutaka kujua huu umakini unaotajwa kwenye uteuzi ni upi hasa ?
Wote mmeona Baraza la Mawaziri zaidi ya nusu wametoka awamu iliyopita , ile awamu inayolalamikiwa kuozesha nchi hii , Makatibu wakuu wengi ni walewale akiwemo sifuni Mchome aliyeshirikiana na Kawambwa na Mulugo kuleta Div 5.
Wakuu wa mikoa na ma DC's wengi ni wale walioshindwa kudeliver mahali pengine , wakiwemo walioangushwa kwenye ubunge.
Kwenye MA DED , DAS na hata wenyeviti wa Bodi mbalimbali sina la kuongeza nadhani kila mtu amejionea .
Ni kweli kwamba watu wameteuliwa na ni haki ya mamlaka kuteua wawatakao , lakini hii hoja kwamba uteuzi huu ni makini ukweli wake uko wapi ?
Great thinker tunaomba muweke ukweli hapa maana wateule wote mnawajua .