J. K, anastaili Pongezi kwa mazuri aliyo yafanya kwa muda wa miaka 10 akiwa kiongozi wa nchi yetu Tanzania.
Japo mapungufu yapo ila alikuwa na uwezo wa kuhimili changamoto hizo.
Ni kiongozi mwenye busara, mwenye kusikiliza michango ya watu wake, mwenye hekima na maarifa.
Mimi binafsi nilikuwa navutiwa sana na hotuba zake. Najua tupo wengi tuliokuwa tunavutiwa na namna ya uongoz wake.. Tutoe maoni na Pongezi juu ya kiiongozi wetu huyu.
Karibuni ndg zangu kwa PONGEZI zenu.