Recent content by lussajo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wachungaji mnaofungisha ndoa ambazo mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume mnamkosea Mungu, tubuni

    Hakuna mahali katika biblia Mungu ametaja umri kwa wanandoa watarajiwa. Ila kuna katika biblia kuna wanaume walioa wanawake wakubwa kwao.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Salary slip kwa watumishi wa Serikali

    Wote
  3. L

    JamiiForums Tanzania Salary slip kwa watumishi wa Serikali

    Wote
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Na huu ndiyo uungwana na sio umagu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tunashirikiana kila kitu lakini hataki kufanya mapenzi

    Na wewe unajiona uko sahihi kujisifia ujinga. No sex before marriage. Zimekuwa karanga kwamba uonje ndipo ununue??
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaj Pikipiki ya bodaboda.. Dodoma

    Vipi Star?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Rais mpya wa Ghana, ni ugonjwa wetu Waafrika?

    Tafadhali Lowassa hakunukuu hotuba bali sehemu ya hotuba jambo ambalo si baya. Usiwe kipofu kwa kuwaita waafrika wanakopi hotuba. Mke wa Trump(mweupe) aliikopi hotuba ya Mke wa Obama(mwafrika).
  8. L

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa kilosa

    Wamasai wapo mbali Sent from my HTC Desire C using JamiiForums mobile app
  9. L

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa kilosa

    Kupo salama Sent from my HTC Desire C using JamiiForums mobile app
  10. L

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa kilosa

    Shamba lenye ukubwa wa hekari 10 linauzwa. Lipo kijiji cha Ulaya kata ya Zombo. Karibu Sent from my HTC Desire C using JamiiForums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nauza kabati, meza, TV, Camera, Sofa nk

    Printer aina gani???? 0626 620 846
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tamko la walimu wa sanaa waliokua wanaosubiri ajira mpya.

    Umoja wa Walimu wa sanaa Tanzania!!!!!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

    Idiot huyo dk bila mwalimu angekuwepo???
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Misungwi amdhalilisha mwalimu mbele ya wanafunzi wake

    Hii inatokea pale unapohisi bila Mkurugenzi hakuna maisha....
Back
Top Bottom