Tunashirikiana kila kitu lakini hataki kufanya mapenzi

Habari wadau,

Nina urafiki na binti mmoja yapata mda sasa na tunashirikiana vitu vyote vya kimapenzi lakini inapofikia swala la kufanya mapenzi anaruka hatari.

Nilishaamua mpaka kutembea na rafiki yake na yeye akachukia na baadae akaniambia amenisamehe. Ila Tabia yake ni ile ile ile, nimfanyaje?
Na wewe unajiona uko sahihi kujisifia ujinga.

No sex before marriage.

Zimekuwa karanga kwamba uonje ndipo ununue??
 
Back
Top Bottom