Naomba kujua kutoka kwa madaktari
1.nini sababu inayopelekea kupoteza hamu ya kula ya aina yoyote ya chakula ili hali unajihisi kuwa na afya tele (yaan haugui hata kidogo)
2.nini sababu inayopelekea mtu kukosa haja (choo kubwa) ili hali mtu anakula chakula Mfano siku kama 3-5 bila kwenda haja...
Jinga sana kiumbe wewe dada yangu huyo alikuwa anapeleka barua ya kuomba field na alikuwa ndani ya gari afu ww unasema alikuwa kwenye maandamano, senge sana kwa uchungu nilionao kwa kupotelewa na dada yangu huyo kwan namm na mwanachuo hapa udsm bas ningekun'gata meno kama ungekuwa karibu yangu
Ndio namaanisha wawez kunipigia hadi mm niwapigie na hata nikiwapigia hawez kuuliza kwamba unaendeleaje na wala kuujaribu kuuliza habari zozote zile za chuo kama ninaendelea vip nachuo
Nikwel nimeandika hivyo ila sio kwamba kwel mamanisha et ninadem wa namna hy hapa dar sema ni namna ya kuwaza na kujiskia niandike nn mtandaon hata kwel hy ilitokeaga kitambo kwa marafiki zangu ila elewa si maanishi kwel kk
No muda umeshakwisha ila kwakwel na najaribu kusoma sana ila bado kwan toka nilikotoka masomo ya biashara sijawahi kusoma hivyo nimekuja kuyaanzia hapa bas yananisumbua kwel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.