Recent content by lusajo paull

  1. lusajo paull

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Yan wasilud kabisa shule coz niwapumbavu wanajua kabisa wanacho kifanya ni kosa Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
  2. lusajo paull

    Namchukia Magufuli from bottom of my heart

    Kumchukia raisi haisaidii, cha msing omba mungu akusaidie umalize salama, na kumbuka kila jambo lina changamoto zake
  3. lusajo paull

    Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

    Kwel we jamaa mnafiki sana, ila tambua kama aliweza kumsalit jamaa yake IPO siku atakusalit pia
  4. lusajo paull

    Nataka kuonana na Rais ili nimweleze haya

    Saf sana wazo zur mwandish ulicho sema nikweli, ila kiukwel wanasiasa ndio wanaua taifa hili coz weng wao wababaishaji
  5. lusajo paull

    Maajabu ya Tanzania: Kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi

    Yan mpaka najiuliza hawa wanaojiita wasom usom wao uko WAP , tatizo tunatawaliwa na maziro brain,
  6. lusajo paull

    Najaribu kupotezea lakini "roho inaniuma"

    Hahaha ulikua unavizia imekula kwako
  7. lusajo paull

    +255 Champion Boy, Mbwana Samatta atajwa kama mchezaji wa kuangaliwa baada ya kufanya maajabu

    Tanzania tunawachezaji wazur sana tatizo mpira wa bongo umejaa siasa , na unafiki ndio maana soka letu halikui. Hongera sana samata kwa malengo na juhud ulizo jiwekea, we ni mfano wakuigwa
  8. lusajo paull

    Msaada: Nahitaji kuwa member wa Illuminat

    Nahisi ubongo wako umeshek kidogo
Back
Top Bottom