Najaribu kupotezea lakini "roho inaniuma"

Najaribu kupotezea lakini "roho inaniuma"

Kama hujui wapi anakwenda the safest assumption ni kwamba anaweza kushuka kituo kinachofuata na kama una interest unachukua digits mara moja.

Take this from the coach. You will be a good player.
Hahaha Got It!

Unajua ofcourse nilijipa matumain kua ntachukua mwisho... Kweli Ile Ndio Ilikua Starting Point Of Failure.
 
Cha mlevi huliwa na mgema hivyo usijali ni kawaida hiyo sasa hela yako ulitaka aile nani?
 
Cha mlevi huliwa na mgema hivyo usijali ni kawaida hiyo sasa hela yako ulitaka aile nani?
Issue Sio Pesa Mkuu... Issue Ni Ile Mission Yangu Imefeli Kizembe Sanaa... Yanii Imekuwa "One Shot--One Officer Down"
 
Kuna watu mna roho nzuri hii nchi!hivi kweli mtu humjui na wala hajakuomba umlipie nauli,we unaamua tu kujitolea?
 
Wakuu Sikukuu mwenzenu nishaianza vibaya...

Nimepanda na kabinti kamoja kazuri ndani ya Hiace moja inayoelekea nje kidogo ya jiji hili. Tupo sisi na Dereva wetu mbele ya gari, haka kabinti nikakalia ubuyu maana mimi sipendagi kumshobokea demu (NOTE: demu ukimshobokea @ Day one atakusumbua kukupa Ny*chi)

Bahati nzuri kakaanza kenyewe...

Binti: kaka hivi huku "kaburi la mzungu" (sio jina halisi) kwa nini pameitwa hivyo? ...Jamani mimi sijawai fika huku mimi mwisho wangu kule "Airpot"... blah blah blah

Nikagundua(from stories tulizokua tunazinyuka) haka kaMsupa ndio walee watoto wa "milioni 8 pesa ya mboga kwa siku moja tu". Basi nikasema nyota ya jaa si ndio hii.

Timing yangu ilikua tukifika mwisho wa gari ndio mzee ntaomba zile digits 10 za kuwasiliana nae. Dah asee tukiwa tunakaribia kufika mwisho vimebaki kama vituo viwili rafiki zake waliokaa nyuma ya gari (ambaye mmoja ndio alikuwa mwenyej wake) wakashuka na kumwambia yeye aliekaa mbele "Aaliyah Tumefika Shuka"...

Mzee nikapewa "byeeee" ...Doooo

Isitoshe nilisimamia show ya nauli ya watu wote wa 4

Jamanii "Roho Inaniumaa Mieeee"--- in voice of ft Christian Bella ( Fid q- Roho )
Mwee wee nae polee ulikuaje Mzembe ivo
 
sasa shida hapo ipo wapi... au umetoa nauli huku unaichungulia..!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom