Naomba uongozi wa chuo kikuu SUA mtazame upya mfumo wenu wa kusajili wanachuo wa mwaka wa kwanza unasumbua na hauna mtiririko ulio sahii kama vipi? Muwaombe UDSM wawape mfumo wao wanaoutumia Ni hayo tu uongozi wa SUA naomba mlifanyie kazi kwani mnawapa usumbufu sana kujiunga na chuo chenu
Kuongezeka kwa joto kunasababisha theluji kuyeyuka ni ile theluji ndio thamani ya mlima na theluji ukiyeyuko tutapoteza watali wenge sana " huko ndiko kupotea kwa mlima"
Hivi karibuni nimekuwa nikitazama vyombo vya habari inaonekana Kilimanjaro ni kinara wa joto nchini kwa mujibu wa (TMA) kuna uwezekano tukapoteza mlima kilimanjaro kama joto litazidi kuongezeka "TUWAOMBE WAKAZI WA KILIMANJARO KUHAKIKISHA KILA MWANANCHI ANAPANDA MICHE YA MITI ANGALAO 50 KILA KAYA...
Upo mtandao wa simu unajiingiza kwenye maswala ya kisiasa ningewaomba wakitaka kufanya biashara wafanye biashara na waachane na maswala ya kisiasa. Mm kama mwananchi mtandao huu wa simu umekuwa na tabia ya kutoa siri za wateja wake. Kwahiyo muwe waangalifu na mtandao huu wa simu kwani...
Watanzania wakijitambua kama huyu kijana tutakuwa na maendeleo na tutajua faida za kuchangua viongozi waliomakini na sio wanaodani kuendesha nchi uraisi ni kama kuendesha familia yake " TANZANIA TUNAHITAJI MIFUMO IMARA NA WALA SIO RAISI WA MATUKIO"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.