Hivi karibuni nimekuwa nikitazama vyombo vya habari inaonekana Kilimanjaro ni kinara wa joto nchini kwa mujibu wa (TMA) kuna uwezekano tukapoteza mlima kilimanjaro kama joto litazidi kuongezeka "TUWAOMBE WAKAZI WA KILIMANJARO KUHAKIKISHA KILA MWANANCHI ANAPANDA MICHE YA MITI ANGALAO 50 KILA KAYA ILI TUPUNGUZE JOTO ILI TURUDISHE UOTO WA ASILI KILIMANJARO NINAIMANI VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO WATALISIMAMIA HILO HALI NI MBAYA SANA"