TUCTA wapo kwa maslahi ya nani?

TUCTA wapo kwa maslahi ya nani?

TUCTA ipo kwa ajili ya kupigania haki za wafanyakazi.

Hata hivyo waweza kupata haki hizo zinazopiganiwa na TUCTA direct au indirect

Mfano mmojawapo, TUCTA ina wawakilishi kwenye wage board, sasa unapoona mshahara wa kima cha chini umepanda ni kuwa tafsiri yake ni vyama vya wafanyakazi chini ya mwamvuli wa TUCTA ndiyo waliopigania kima hiko cha chini kupanda.
Kwa hyo kuzuia nyongeza za mishahara, kupanda vyeo na kusimamisha ajira ni TUCTA wamepigania? Kama la, inakuwaje wamekaa kimya? Wakati wa uhakiki watu wametumia pesa nying kusafiri huku na huko wakiamini kuwa zitarud kea njia ya kupsndishwa madaraja na nyongeza za mwaka baada ya uhakiki lakini hakuna kitu. TUCTA mko wapi? Mmehongwa? Mishahara mnayolipwa ni kwaajili ya nini?
 
Back
Top Bottom