Asante kwa taarifa.
1. Je, hii kliniki no kwa ajili ya mji/wilaya ya Kibaha tu au mkoa wote wa Pwani?
2. Ipo hapo hadi lini?
3. Mimi nipo Kisarawe, nahitaji huduma hii
Waisilamu walijitahidi sana kuficha au kuyaremba maandiko yao yenye ukakasi. Lakini kwa sasa kuna kizazi fulani cha waisilamu friji lao limeshindwa kugandisha, wanaanika mambo hadharani.
Kukashifu watu kwa kutumia kichaka cha vita dhidi ya ushoga ni upumbavu. Hata wanaotetea upumbavu wa Dudubaya nao pia ni wapumbavu. Kwani ujumbe usingeweza kufika bila kutaja watu bila ushahidi?
Kwani kuitwa wafuasi wa Yesu Kristu haitoshi? Lipi bora, kuitwa wafuasi wa Yesu bila ya kuwa na dini AU kuwa na dini halafu mkawa wafuasi wa shetani kama mlivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.