Recent content by lups

  1. L

    Plot4Sale kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi

    mkuu ntatafuta kiwanja maeneo hayo
  2. L

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

    .mkuu naomba contacts zako tuweze kufanya mawasiliano, nipo interested
  3. L

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    I am in need of Rumion car, kwa yeyote alienalo tuwasiliane, zaidi nitapendelea lisilotumika
  4. L

    Nahitaji shamba la kununua

    Kiwanja unamaanisha mkuu?
  5. L

    Nahitaji shamba la kununua

    Upande huo mkuu ahsante..sipendelei
  6. L

    Nahitaji shamba la kununua

    Shalom, habarini za kutwa, nina interest ya kununua shamba maeneo ya kuanzia Kibaha kwenda hadi karibu na Mlandizi hapo katikati, kuanzia heka moja hadi tatu. Isiwe karibu sana na lami, mwenye ufahamu naomba anijulishe, ila isiwe ya wapigaji wale wanaotaka pesa ya mteremko kwa utapeli. Najua...
  7. L

    Eti jeshi linamtetea aliyeua watoto

    Wewe umejuaje na kwa nini unaamini mwanajeshi sio mjinga?kama ana mtindio je? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  8. L

    Wataalamu wa Windows OS Naomba Mnielimishe!

    Features zote zipo pia kwa higher version mkuu,ingawa windows 8 haiko user friendly kwa kweli,better use win 7,iko poa Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  9. L

    SBT: Japan

    Kwa mtazamo wangu beforward wako more organised, but kwa bei sbt wana room kubwa ya ku negotiate bei nzuri. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  10. L

    Tajirika kwa kufuga kuku Weusi wa Malawi wanaofaa kwa kutaga na nyama

    Mkuu unapatikana kwa namba gani?upo unapatikana maeneo gani,ebu nirushie simu no. Yako kwa huruma_david@yahoo.com Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  11. L

    Miembe ya kisasa..

    Mkuu au nitumie namba yako ya simu kwa huruma_david@yahoo.com
  12. L

    Miembe ya kisasa..

    Mkuu,ninahitaji mbegu hii mkuu ingawa sina mapana sana ya aina ya mbegu stahiki,naomba unitumie details kwa huruma_david@yahoo.com tafadhali
  13. L

    Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

    Huyo jamaa nasikia baada ya habari zake kusambaa alidata kama aina ya uchizi kwa msongo wa mawazo na kama baada ya miezi kadhaa alifariki,ilitangazwa pia taarifa yake kwa vyombo vya habari kipindi hicho,nadhani alijiona ameplay part kusababisha kifo cha mtoto huyo Sent from my BlackBerry 9300...
  14. L

    Incubator toka U.K zinauzwa

    Mkuu naomba namba yako ya simu,itakuwa rahisi kwangu kukucheki mara nitakapokuwa nimejiaNdaa,nitahitaji kwenye october hivi,nitumie kwa ,huruma_david@yahoo.com Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Back
Top Bottom