Incubator toka U.K zinauzwa

Incubator toka U.K zinauzwa

mambo ya ki digitali hayo mnawapunguzia kuku ajira na majukumu.
 
Wadau nauza incubator toka U.K, zipo za aina mbili,aina ya kwanza ina uwezo wa kutotolesha mayai 176 kwa wakati mmoja ambayo bei yake ni 550,000/= na nyingine ina uwezo wa kutotolesha mayai 24 kwa wakati mmoja bei yake ni 300,000/. Incubator zote ni automatic,brand new in box with a receipt na zote ni kutoka Uk!kwa mwenye kuhitaji ani PM
asante mkuu!sorry naomba kuuliza vipi ya mayai 540 naweza pata wapi na bei yake kama waijua nijuze mkuu!
 
Mkuu naomba namba yako ya simu,itakuwa rahisi kwangu kukucheki mara nitakapokuwa nimejiaNdaa,nitahitaji kwenye october hivi,nitumie kwa ,huruma_david@yahoo.com

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
asante mkuu!sorry naomba kuuliza vipi ya mayai 540 naweza pata wapi na bei yake kama waijua nijuze mkuu!

Naomba unipe muda mkuu,nitakupa jibu sahihi
 
Mkuu naomba namba yako ya simu,itakuwa rahisi kwangu kukucheki mara nitakapokuwa nimejiaNdaa,nitahitaji kwenye october hivi,nitumie kwa ,huruma_david@yahoo.com

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom