Wataalamu wa Windows OS Naomba Mnielimishe!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Heri ya Mwaka Mpya wataalamu na wadau wote wa jukwaa hili.

Nimesoma kwa masikitiko makubwa kwamba Microsoft watasimamisha support ya Windows xp mwezi wa nne mwaka huu.
Hizi habari kwangu ni pigo kubwa kwa sababu mimi ni mpenzi mkubwa wa windows xp. Nimetokea kuipenda sana hii OS kwa sababu zifuatazo:
1. OS hii huja na drivers zote muhimu kwa device yoyote utakayo-instal.
2.Ina mfumo mzuri wa users accounts. Waweza kumfungulia mwanao user account kwenye winxp na akacheza na hiyo account yake apendavyo bila ku-upset settings zako. Kwa mfano, hawezi kudown au ku-instal chochote.
3. Ina restore point. Hii ni feature nzuri mno! Kama kompyuta inakorofisha, waweza kuirudisha nyuma kwenye mahali ambapo ilikuwa inafanya kazi vizuri ie ni kama kuifufua kompyuta.

Hizo ni baadhi tu ya features nzuri zilizonifanya niipende sana windows xp.

Microsoft wanashauri tutumie os za 'kisasa zaidi eg win7, 8 nk.

Je wataalamu, os za windows za kisasa zaidi zina hizo features tatu nilizoainisha hapo juu? Kwenye windows8 naweza mfungulia mwanangu account yake? Au ikitokea issue ya software kukorrupt system, je naweza ku-restore kompyuta
kama ni windows 8.1?
To me,these new technologies are too user unfriendly and more confusing!

PLEASE MICROSOFT, KEEP WINDOWS XP GOING!
 
X.800

Senior Member
Sep 17, 2012
188
225

Microsoft kustop kutoa support haimaanishi wataifunga win xp isitumike tena la hasha.. xp itaendelea kutumika na kama hivi sasa huna tatizo la drivers kwa resource ulizo nazo hiv sasa, utaendelea kutumia bila matatizo,, ila ujaji wa new resorces (hardware & software ) microsoft hawatakuwa na dhamana ya support na os yao hii baada ya huo mwezi wa 4 juu ya kuto support resource yoyote itakayokuja baadae.

pia hizo features ulizo taja hapo juu zipo na zimeimarishwa zaid ktk windows 7 and 8.
 
lups

Member
Dec 9, 2012
23
45
Features zote zipo pia kwa higher version mkuu,ingawa windows 8 haiko user friendly kwa kweli,better use win 7,iko poa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,683
2,000
Features zote zipo pia kwa higher version mkuu,ingawa windows 8 haiko user friendly kwa kweli,better use win 7,iko poa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kweli kabisa hasa uwe huna simu ya touch screen ndo utashaa..
 
Kwetu Ngoreme

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
492
195
Usiogope mkuu, hicho kitu hakipo na hakitakuwepo, labda waanze kufanya msako wa kila nyumba dunia nzima, Hata kama wakiisimamisha wewe hautaathilika kamwe kama ukiwa offline.
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Windows 8 naweza sema ndo FASTEST OS ya Microsoft to date. Na ndo the best looking one too!! Sijui what you guys are complaining about it being user friendly, ukihama from Win1998 kuja 2000 au Xp na kutoka XP to Vista o windows7 lazima itakusumbua at first lakini mwisho kila ki2 kinakua fresh. Win 8 if you ask me visually ukitoa 2 ile style mpya ya start menu(ambayo unaweza kuweka iwe ka ya win 7) sioni tofauti na win7 zaidi ya kwamba its better and faster than win7!! Ukitaka uone non userfriendly OS try any version of linux(apart from Mint hii kidogo ina afadhali)
 
Are u sure? Au unafurahia kuona inavyo-slide? Unajua effect yake kwenye memory? For me, Seven7 is the best.
 
Pancras Suday

Verified Member
Jun 24, 2011
7,814
2,000
Mi natumia dual OS yaani Windows 8 na Ubuntu 13.10, ingawa kwa sasa natumia sana Ubuntu kwa sababu kunaproject nyingi nafanya kwa kutumia ubuntu server, lakini windows 8 still my best windows OS, na nashangaa sana kwa nini watu wana-complain sana kuhusu windows 8, tatizo lipo wapi...!!?
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Are u sure? Au unafurahia kuona inavyo-slide? Unajua effect yake kwenye memory? For me, Seven7 is the best.
Win angu start button nmeicustomize iko kama ya seven tu so no funny sliding things, ila OS in general inaizidi seven kila nyanja. Kwanza ni faster, yaan kuboot tu ni sekunde tu ipo online also inacopy files haraka zaidi, pia ni nyepesi sana on use kulinganisha na win 7! Visually pia ina muonekano bora sana kuliko seven, images ni sharper na brighter i.e yaan kama unang'ang'ana na 7 basi hujui kutumia resources zako effectively!!
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Mi natumia dual OS yaani Windows 8 na Ubuntu 13.10, ingawa kwa sasa natumia sana Ubuntu kwa sababu kunaproject nyingi nafanya kwa kutumia ubuntu server, lakini windows 8 still my best windows OS, na nashangaa sana kwa nini watu wana-complain sana kuhusu windows 8, tatizo lipo wapi...!!?
Yeah mkuu, linux inabidi iwe pembeni siku zote. Nna Mint Lisa side to win 8 and yeah hii OS tamu sana still najiuliza sana complains za nin, maana hii os iko faster kwel yaan
 
Sep 2, 2014
52
70
kwa jina natwa danforHeri ya Mwaka Mpya wataalamu na wadau wote wa jukwaa hili.

Nimesoma kwa masikitiko makubwa kwamba Microsoft watasimamisha support ya Windows xp mwezi wa nne mwaka huu.
Hizi habari kwangu ni pigo kubwa kwa sababu mimi ni mpenzi mkubwa wa windows xp. Nimetokea kuipenda sana hii OS kwa sababu zifuatazo:
1. OS hii huja na drivers zote muhimu kwa device yoyote utakayo-instal.
2.Ina mfumo mzuri wa users accounts. Waweza kumfungulia mwanao user account kwenye winxp na akacheza na hiyo account yake apendavyo bila ku-upset settings zako. Kwa mfano, hawezi kudown au ku-instal chochote.
3. Ina restore point. Hii ni feature nzuri mno! Kama kompyuta inakorofisha, waweza kuirudisha nyuma kwenye mahali ambapo ilikuwa inafanya kazi vizuri ie ni kama kuifufua kompyuta.

Hizo ni baadhi tu ya features nzuri zilizonifanya niipende sana windows xp.

Microsoft wanashauri tutumie os za 'kisasa zaidi eg win7, 8 nk.

Je wataalamu, os za windows za kisasa zaidi zina hizo features tatu nilizoainisha hapo juu? Kwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom