Swala la soko ni tatizo la kitaifa kiongozi..ila nimekuja kuona watu wanataka faida ya haraka na kubwa sana ukitumia m 2kutunza Shamba ukiuza magunia 70 ata kwa 55000 faida inarudi 1.8m..ila wakulima wa mjini wanataka milioni 5 faida ndomana wanalalamika soko hamna.na kupata soko unahitaji Ku...

@Regrann from @kilimochavitunguu - Habari wapendwa
SEMINA YA KILIMO CHA VITUNGUU
Je unahitaji kulima Vitunguu na hujui pa kuanzia? Tutaweza kukupa semina ya mwezi mzima kabla ya kuanza kulima Vitunguu ili uweze kupata faidi kwenye zao hilo.
JIKWAMUE NA KILIMO CHA VITUNGUU kwa kukamata fursa...
Wengi wakiachana huwa wanaendeleza urafiki..wachache sana urafiki kukata hivyo kurudi na kukumbushiana inakuwa raisi sana.kimoja cha kufahamu ni kuwa kurudiana na x wako ni kama kurudia kitabu ulichosoma..mwisho wake unaujua
Don't give up mda mwingine wadada tunatabia ya poz kidogo na kumsoma mtu aone kama unampenda kiasi gani..ila mapozi yakizidi sanaa jiondokee zako maana utakuwa unapoteza mda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.