WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amemtwisha mzigo wa lawama Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kushindwa kuueleza umma ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe.
Sitta alisema kuwa anashangazwa na ukimya huo wa Pinda kwakuwa Dk. Mwakyembe alishatoa...