Recent content by luofe

  1. luofe

    Nilichokikuta ukweni imebidi nimsamehe mume wangu

    Unachotakiwa kujua ni kwamba hata kama utakua unawapa 1.5 yote kila mwezi, ndugu wako sijui 8 huwezi maliza matatizo yao! Ila wao watakua maskini na wewe utakua maskini. weka budget limit then nyingine aishi maisha yenu. Kabla ya kuanza kuwahudumia walikua wanaishi vipi? Au yeye alikuta...
  2. luofe

    Msaada jinsi yaku cancel admission UDOM

    Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom. Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili niombe upya
  3. luofe

    Kituko: TFF yaishusha Kagera Sugar ,Azam tv yaishusha Stand Utd

    Goal difference zinafanana...ukienda kwenye head to head stand ana advantage as alimfunga kagera 3-1 kaitaba na shinyanga ilikua 1-1...kwa mantiki hiyo kagera anashuka
  4. luofe

    Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

    wao ndo wanatuweka majaribuni...unaeka vidole mama analia kama imewekwa diki bana....tunaharibiana swaumu tu
  5. luofe

    Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

    Hatuna baba ndo hiyo tu...af sio mkono shenzi wewe!! Vidole viwili tu
  6. luofe

    Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

    mkuu anatikisa kiberiti tu huyo ...250k per month ni pesa mingi sana
  7. luofe

    Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

    ongeza na ebitoke + bwana mjeshi
  8. luofe

    Nahitaji kwenda Doha, Qatar tujuze kuhusu maisha ya huko

    mji mzuri...watu wake wako poa..wakarim sana!! jiandae kukabiliana na joto tu usiache kwenda villagio mall na souk waqif
  9. luofe

    Kaniboa sana, ushauri tafadhali

    wamakonde..mna nini nyie watu???
  10. luofe

    Nauza mradi wa ufugaji wa nguruwe. Nipo Mwanza mjini

    habarini wakuu..naamini tu wazima wa afya na tunaendelea kupambana kujikwamua kiuchumi mimi ni mfugaji kwa muda sasa na pia ni mwanafunzi wa chuo cha sayansi ya afya na tiba- bugando Ninauza mradi wa ufugaji wa nguruwe, ili nipate muda zaidi kwenye masomo yangu as niko mwaka wa mwisho sasa...
  11. luofe

    Msaada wa Kimawazo:Naishi kwenye Jamii ya watu wenye elements za inferiority complexity

    unamaliza lini? jikaze umalizie mkuu ...ukiona yanazidi ita press conference wachane waache usengerema
  12. luofe

    lawama zangu za dhati kwako lara moko na the bold

    habari za muda huu wana jamvi (wana nzengo) nikiri kwa dhati ya moyo wangu nimekua mpenzi mzuri sana wa stories zinazowekwa na lara 1 na the bold nimekua nikimwona lara 1 hapa jukwaani mara nyingi na hadithi zake na the bold nimekua nikimwona jamii intelligence kutokana na ubora wa stories...
  13. luofe

    Kukosa mkopo wa elimu ya chuo kikuu kwa kukosa vigezo ni matokeo ya uzembe binafsi

    sasa kila mtu akisoma science unadhani itakuwaje?? umewaza kuhusu wahasibu,wanasheria, waalimu wa masomo ya art,wachumi ?
  14. luofe

    Kubadili Chuo Kutoka Bugando Kuja Muhimbili Au UDSM

    2M haifiki mkuu..ada nusu around 520,000, room wanataka yote mwaka huu 480,000...registration 450,000...mkuu pamekua pachungu now..
Back
Top Bottom