Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Messages
628
Points
1,000
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2018
628 1,000
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?

Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke inawaumiza na inawakera wajawazito wengi sema tu hawana jinsi.

Tafuteni njia mbadala.
 
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Messages
628
Points
1,000
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2018
628 1,000
Hatuna baba ndo hiyo tu...af sio mkono shenzi wewe!! Vidole viwili tu
Vidole viwili vina urefu gani kupima njia ? We shamba tu kama hujui si umyuti ? Mkono na sio vidole
 
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Messages
628
Points
1,000
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2018
628 1,000
wao ndo wanatuweka majaribuni...unaeka vidole mama analia kama imewekwa diki bana....tunaharibiana swaumu tu
Ushike vidudu halafu ubaki na swaumu ? Hakuna kitu hapo
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
20,125
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
20,125 2,000
Ukija na Mkeo hospitali anakwambia Baki nje

Anaingia ndani unabaki nje huku ukijua anaenda kumvua Mkeo chupi anatumbukiza vidole kwenye Uke wa Mke wako nawe upo nje unasubiri

Bora hiyo njia ya kupima njia ifundishwe tupime wenyewe wake zetu then tunawapa majibu
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
8,621
Points
2,000
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
8,621 2,000
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?

Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke inawaumiza na inawakera wajawazito wengi sema tu hawana jinsi.

Tafuteni njia mbadala.
Mkuu hii ni kweli ama chai?
 
Forum statistics

Threads 1,295,677
Members 498,336
Posts 31,219,350
Top