Akienda kampuni ya mtandao husika anapewa miamara atakayoitaji, na kwa voda huna hata haja ya kwenda unaweza vuta transaction zote wewe mwenyeweMsg za kwenye cm c'yo guarantee/hazipo secured;cm ikipotea na ushahidi unapotea,pia m2 anaweza kuzifuta hata mtoto au akichezea cm anaweza kuzifuta kwa bahati mbaya
Cha kufanya hapo mgungulie account cuz ikitokea ww au yy amepoteza au kuficha deposit in slip,unaenda bank wanaku-printia bank statement
Ishi kama msomi wa karne ya 21,huyo manzi atakujakukushinda kwenye kuongea bila ya ww kuwa na ushahidi!
Wanakatia wapi mkuu
MmhhhhUlitumwa utongoze mzaramo..shuzi lako hilo pambana nalo mkuu
Aisee... jamaa naona jamaa wanataka kuchukulia matatizo yangu kama burudan .. mimi kama ndio ushauri mzuri nimepokea toka jana na nimefanya maamuzi... cha kusubiri hapa ni mrejesho la huko whatsapp mimi silijui, najua wamecopy hapaMajuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda
MKILETA THREAD PITIENI JUKWAA KWANZA KAMA HAIJALETWA HUMU....
Moderator unganisha hizi thread...
Kuna mtu venchwa ameleta uzi kama huu...Aisee... jamaa naona jamaa wanataka kuchukulia matatizo yangu kama burudan .. mimi kama ndio ushauri mzuri nimepokea toka jana na nimefanya maamuzi... cha kusubiri hapa ni mrejesho la huko whatsapp mimi silijui, najua wamecopy hapa