Nahitaji kwenda Doha, Qatar tujuze kuhusu maisha ya huko

Nahitaji kwenda Doha, Qatar tujuze kuhusu maisha ya huko

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Halloooo

Jamani kuna m bongo yeyote anaishi Doha?
Tafadhali nonampango wa Ku timba huko. Feel free kunicheki hata PM au mwaga maujuzi yoyote hapa.

Asante.
 
Aisee Humu ndani hamna watu wa Doha inamaana?
Aah jamani mas_khara hayo 🙄
 
Halloooo

Jamani kuna m bongo yeyote anaishi Doha?
Tafadhali nonampango wa Ku timba huko. Feel free kunicheki hata PM au mwaga maujuzi yoyote hapa.

Asante.
Vipi ushafika? Tupe mrejesho
 
Aaah watu walinchunia! Unaishi huko wewe?
 
Back
Top Bottom