Recent content by lunogelo

  1. L

    Uswahilini kuna vituko

    Jamaa alikuwa ana mke na watoto wa wawili(mmoja wa miaka saba na wengine wa miaka mitatu hivi) wakati kapanga chumba kimoja huku kwetu uswahili kama unavyoelewa tena kitanda chenyewe kimoja so mtoto mdogo, baba na mama wote wanalala kitandani wakati mtoto mkubwa analala ktk kigodoro chake chini...
  2. L

    Msaada wako tafadhari!

    ok ndugu tutafanya hivyo ila tulitaka kujua kama kuna mdau yoyote hata humu anayeweza tupa mwangaza
  3. L

    Msaada wako tafadhari!

    thanx mkuu tutajaribu!
  4. L

    Msaada wako tafadhari!

    Wadau kuna kijana amemaliza form 4 mwaka 2006 akapata div 3 ya points 23 kwa mchanganuo wa civics B, history C, geography D, Kiswahili C, English C, Biology F, Math C. Mwaka 2010 akasoma cheti cha sheria ktk chuo cha uongozi wa mahakama lushoto na kumaliza mwezi july mwaka huu kwa ufaulu wa...
  5. L

    Chuo cha sheria kinachotoa certificate

    Dar kuna Bagamoyo University kule kawe, Kampala International University Gongo la Mboto campus, Azania na UDSM. Nje ya Dar kuna Mzumbe cha moro, Ruco cha iringa, Ija cha lushoto, St Augustine cha mwanza, St John cha dodoma, Eckernforde cha tanga, TIKU cha mbeya.
  6. L

    Kuna ukwelii juu ya jambo hili

    Wadau naomba kujua kama ni kweli ndoa za mikataba zinatambulika kisheria ktk baadhi ya nchi
  7. L

    Kuna madhara gani juu ya jambo hili

    Wadau naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote yale mwanafunzi aliyemaliza form 4 akaenda kusoma certificate na kujiunga na digrii
  8. L

    Hawa jamaa ni noma!

    yeah huyo demu alikua noma na james soyah nae ametisha ndani ya lost kuna kipindi walikua wanashea dem na jack
  9. L

    Hawa jamaa ni noma!

    embu jaribu kuzitafuta utaelewa nini tunachomaanisha
  10. L

    Clouds fm wa hack account ya adili ya facebook na kusambaza ujumbe kuwa kajitoa ant virus

    kiazi wewe eti Adili hana ngoma iliyowahi kuhit hivi unafuatilia mziki wewe au unakurupuka tu? Unakumbuka ngoma ya peke yangu ilifika level gani kwenye media za bongo? Eti wengine hawana swagga muangalie Temba anarap vp? Tena ulivyokua kilaza unamdic hadi Dan Msimamo jamaa ambaye ngoma zake...
  11. L

    24 hrs

    Anachonifurahisha Jack Bauer kama anahitaji taarifa kutoka kwako ataipata kwa namna yoyote ile! Alikuwa anachoma watu hadi bisi bisi ya magot
  12. L

    24 hrs

    umeonaee kaka yaani lazima uzitie moto full kichefuchefu
  13. L

    Hawa jamaa ni noma!

    1. Jack Bauer huyu ni mzee wa matukio waliocheki 24hours watakubaliana na mimi ni mtu aliyejitoa sana kwa nchi yake kama kuna taarifa anaihitaji kutoka kwako ataipata kwa namna yeyote ile. 2. Chloe O'brian huyu dada naye ameshiriki ktk 24hours alifit sana ktk mambo ya mambo ya kucheza na...
  14. L

    Cyprian musiba a.k.a mzee wa mwibara yuko wapi?

    Yupo fb ac yake inajina la MKULIMA WA KISASA
Back
Top Bottom