Clouds fm wa hack account ya adili ya facebook na kusambaza ujumbe kuwa kajitoa ant virus

Sasa huu si utoto???????

huwa nachukia sana tabia ya wabongo kudharau kazi za sanaa,eti utoto..sanaa ni sekta iliyoajiri vijana wengi sana mkuu,tena kwenye nchi za wenzetu ata hapa africa mfano sauz africa,nigeria ata apo uganda imetoa mamilionea vijana,lakini kwetu msanii anadharaulika kweri na inaonekana hana haki ya kufaidi jasho lake..mbaya zaidi anatokea mtu kujaribu kuondoa hii zana kwa vitendo,basi anakatishwa tamaa kwa kila namna uku mnyonyaji wa huu muziki akisifiwa ye ndo mjanja..kuna siku humu jamvini mtu mmoja alisema Sugu badala ya kuongelea vitu vya maana ye amekazana na ujinga wake,yani ye kwake sanaa ni ujinga na kitu kisicho na maana akipaswi kuzungumziwa kabisa sehemu kama bungeni..Sugu ana kazi sana!
 
Hip Hop for life, Mbeya for Life, tangu enzi za kina Nigga J, Sun Jacko, Dicka Sharp, KBC, BBG, Sugu pia Mbeya Club ma concert ya mchana, Centre, lyunga, Meta and all over we are supporting harakati against RUGE and his media company

aisee inanikumbusha way back pale mji kasoro,kina Gangsta family,MC ndolo,kilin boyz,squeezer,Puzzo lee,nash g,wapayukaji,enzi hamis mkambala wa itv akiimba rnb anajiita mr brown,bad gear ivi sasa witness,crazy p ivi sasa o-ten ilikuwa mzuka sana..show zilifanyika moro hotel-shimoni,rock garden,forest hill pale
 
wewe adili anakujua nani? usitafute promo kwa nguvu na za kijinga,fanya kazi ya maana utaonekana tu,sijawai kukuskia radioni kukuona kwenye tv hata ch 5 sasa hii tv pia ni ya clouds? kwani na huko wanakubania? mbona wasanii wengine wanaonekana? iweje unapiga yowee ili mradi uskike tu!!! fanya kazi kaka utaonekana tu.

issue ya kudanganya wadau kwamba account yako imekuwa hacked ni uzushi mtupu ya kutafuta promo maana sugu ameona issue hii haijapata promo yoyote sasa mnaleta za kuleta sasa hii ni aibu na inahitaji kujipanga na siyo kukurupuka.Kufanya tamasha kubwa kama mnavyojigamba si kazi rahisi na ndio maana imebidi mpeleke mbele kwani mlikurupuka.Hata hiyo tare 26 tuko hapa hakuna kitachotokea.

mimi niko neutral siko upande wowote ila nawashangaa wasanii hawa wachache wanaomuunga mkono sugu kwasababu zifuatazo:

1. wagosi wa kaya: hawa wamejifelisha wenyewe kwani hawakwenda na wakati,style yao ni ile ile miaka nenda rudi, wakachokwa.
2.mapacha: walishindwa kuusoma mziki kuona mashabiki wanapenda nini, wao wakaimba wanavyopenda wao na matokeo yake wakafeli.
3. adili: alijaribu mziki akashindwa, hajawahi kutoa hata ngoma moja ya maana kwa rekodi niliyonayo hakuna hata track yake moja iliyowahi kuskia kwenye radio yoyote nchini, akajaribu kufanya video akafeli.
3.soggy: huyu pia ameshindwa kwenda na wakati tangu ameanza mziki mwaka 1996 hadi leo 2011 bado unachana vile vile huna swagga.
4. rama dee: huyu ndiye anayenishangaza kwani kama kuna radio imempa promo bac ni clouds kwani sijawahi kumsikia radio yoyote, huyu ni mzigo wa mavi habebeki kwani ameshindwa kufikia level ya kina diamond kwani hajui anataka kuimba nini.
5.suma gee: huyu cha pombe hata sura yake ukiiangalia unapata jibu kwanini alifeli.
6.dani msimamo: sina zaidi hajawahi kufanya la maana kwenye hii gem. ila nampa big kwa maskio yake yaliyojitokeza kwa ajili ya usnitch
7. sugu: bwana misosi kwenye nitoke vipi alishasema kwamba sugu wabongo wamemchoka na wamemtema,toka kipindi hicho 2003 na ndio maana uzinduzi wa mwisho sugu alipata watu 8 pale diamond.

kwa kumalizia hii crew yote ni watu waliofeli na wamebaki kudanganyana badala ya kuangalia waliteleza wapi na wajirekebishe.Hii show itafeli tu, tuko hapa tusiandikie mate wakati wino upo.

naomba kuwasilisha.
 
hawa clouds wakuda sana wanyonyaji wakubwa, kipindi hiki mpaka wakimbie game kudadadeki z.a.o
 
4.soggy: huyu pia ameshindwa kwenda na wakati tangu ameanza mziki mwaka 1996 hadi leo 2011 bado unachana vile vile huna swagga.
4. rama dee: huyu ndiye anayenishangaza kwani kama kuna radio imempa promo bac ni clouds kwani sijawahi kumsikia radio yoyote, huyu ni mzigo wa mavi habebeki kwani ameshindwa kufikia level ya kina diamond kwani hajui anataka kuimba nini.
5.suma gee: huyu cha pombe hata sura yake ukiiangalia unapata jibu kwanini alifeli.
6.dani msimamo: sina zaidi hajawahi kufanya la maana kwenye hii gem. ila nampa big kwa maskio yake yaliyojitokeza kwa ajili ya usnitch
7. sugu: bwana misosi kwenye nitoke vipi alishasema kwamba sugu wabongo wamemchoka na wamemtema,toka kipindi hicho 2003 na ndio maana uzinduzi wa mwisho sugu alipata watu 8 pale diamond.

kwa kumalizia hii crew yote ni watu waliofeli na wamebaki kudanganyana badala ya kuangalia waliteleza wapi na wajirekebishe.Hii show itafeli tu, tuko hapa tusiandikie mate wakati wino upo.

naomba kuwasilisha.

nikisoma comment zako ni mtu unayejichanganya sana,nadhani ni sababu ya kupanic,sielewi nini kimekusibu ila pole sana..
1.unasema hauko upande wowote ila kwa hukumu uliyoitoa haina haja ya kuumiza kichwa uko upande upi
2.hii movement ya Antivirus sio ya kupigania kupigwa nyimbo zao redioni au videoni,au kuonekana kwenye ma-top ten,SUGU ameishatoka uko sasa wanapigania kufaidika kwa msanii kwa kazi yake,na hili litafanikiwa japo hauamini,na Sugu anafanya haya sio ili afaidike yeye hapana,kwa hawa watoto wasiojua wanafanya nini..
3. Kitu kingine nakushauri mkuu usiwe mwepesi wa kutekwa na "media power",heshimu hisia zako pia,sio kila msanii unaemskia sana redioni anauwezo mkubwa kuna michezo mingi michafu inafanyika uko nyuma ya hivi vi-fm radioz
4. Tamasha la nov 26:dhumuni la hilo tamasha ni kuwastua wasanii kwamba muziki unalipa,muziki unawezekana bila clouds kuweka mkono wake,pia wanajaribu kuwaonyesha kwamba stage kubwa zenye hadhi ya kimataifa sio mpaka aje Ludacris ndio zitumike ata Mr.blu anaweza kulitumia kwa show zake.Nigeria naSauz wameweza ili na sisi tutaweza tu ni suala la muda tu..
5.kitu kingine naona umetoa hukumu tena kama kawaida yako kwamba tamasha la nov 26 litafeli,ila naomba likifanikiwa uje tena kutoa pongezi usijejikausha..
 
wewe adili anakujua nani? usitafute promo kwa nguvu na za kijinga,fanya kazi ya maana utaonekana tu,sijawai kukuskia radioni kukuona kwenye tv hata ch 5 sasa hii tv pia ni ya clouds? kwani na huko wanakubania? mbona wasanii wengine wanaonekana? iweje unapiga yowee ili mradi uskike tu!!! fanya kazi kaka utaonekana tu.

issue ya kudanganya wadau kwamba account yako imekuwa hacked ni uzushi mtupu ya kutafuta promo maana sugu ameona issue hii haijapata promo yoyote sasa mnaleta za kuleta sasa hii ni aibu na inahitaji kujipanga na siyo kukurupuka.Kufanya tamasha kubwa kama mnavyojigamba si kazi rahisi na ndio maana imebidi mpeleke mbele kwani mlikurupuka.Hata hiyo tare 26 tuko hapa hakuna kitachotokea.

mimi niko neutral siko upande wowote ila nawashangaa wasanii hawa wachache wanaomuunga mkono sugu kwasababu zifuatazo:

1. wagosi wa kaya: hawa wamejifelisha wenyewe kwani hawakwenda na wakati,style yao ni ile ile miaka nenda rudi, wakachokwa.
2.mapacha: walishindwa kuusoma mziki kuona mashabiki wanapenda nini, wao wakaimba wanavyopenda wao na matokeo yake wakafeli.
3. adili: alijaribu mziki akashindwa, hajawahi kutoa hata ngoma moja ya maana kwa rekodi niliyonayo hakuna hata track yake moja iliyowahi kuskia kwenye radio yoyote nchini, akajaribu kufanya video akafeli.
3.soggy: huyu pia ameshindwa kwenda na wakati tangu ameanza mziki mwaka 1996 hadi leo 2011 bado unachana vile vile huna swagga.
4. rama dee: huyu ndiye anayenishangaza kwani kama kuna radio imempa promo bac ni clouds kwani sijawahi kumsikia radio yoyote, huyu ni mzigo wa mavi habebeki kwani ameshindwa kufikia level ya kina diamond kwani hajui anataka kuimba nini.
5.suma gee: huyu cha pombe hata sura yake ukiiangalia unapata jibu kwanini alifeli.
6.dani msimamo: sina zaidi hajawahi kufanya la maana kwenye hii gem. ila nampa big kwa maskio yake yaliyojitokeza kwa ajili ya usnitch
7. sugu: bwana misosi kwenye nitoke vipi alishasema kwamba sugu wabongo wamemchoka na wamemtema,toka kipindi hicho 2003 na ndio maana uzinduzi wa mwisho sugu alipata watu 8 pale diamond.

kwa kumalizia hii crew yote ni watu waliofeli na wamebaki kudanganyana badala ya kuangalia waliteleza wapi na wajirekebishe.Hii show itafeli tu, tuko hapa tusiandikie mate wakati wino upo.

naomba kuwasilisha.
unalako,,mbona unazungumzia tu upande mmoja wa kufeli kwao,zungumzia upande wa pilia acha ushabiki,bifu na hisia zako,weka basi trck yako hapa tusikilize
 
Ndio maana kule kwetu hakuna kutoleana maneno kienyeji mtu akileta za kuleta unampa za chembe, ikishindikana panga moja la ugoko heshima inarudi na hiyo story inaisha sasa hii Ruge vs Sugu kila siku kila uchao..tuwape pambano watoane ngeu heshima irudi tufanye kazi ingne!!!

Hahaha mkuu we ni mtata sana!Tuwape mchanga wapute sio?
 
wewe adili anakujua nani? usitafute promo kwa nguvu na za kijinga,fanya kazi ya maana utaonekana tu,sijawai kukuskia radioni kukuona kwenye tv hata ch 5 sasa hii tv pia ni ya clouds? kwani na huko wanakubania? mbona wasanii wengine wanaonekana? iweje unapiga yowee ili mradi uskike tu!!! fanya kazi kaka utaonekana tu.

issue ya kudanganya wadau kwamba account yako imekuwa hacked ni uzushi mtupu ya kutafuta promo maana sugu ameona issue hii haijapata promo yoyote sasa mnaleta za kuleta sasa hii ni aibu na inahitaji kujipanga na siyo kukurupuka.Kufanya tamasha kubwa kama mnavyojigamba si kazi rahisi na ndio maana imebidi mpeleke mbele kwani mlikurupuka.Hata hiyo tare 26 tuko hapa hakuna kitachotokea.

mimi niko neutral siko upande wowote ila nawashangaa wasanii hawa wachache wanaomuunga mkono sugu kwasababu zifuatazo:

1. wagosi wa kaya: hawa wamejifelisha wenyewe kwani hawakwenda na wakati,style yao ni ile ile miaka nenda rudi, wakachokwa.
2.mapacha: walishindwa kuusoma mziki kuona mashabiki wanapenda nini, wao wakaimba wanavyopenda wao na matokeo yake wakafeli.
3. adili: alijaribu mziki akashindwa, hajawahi kutoa hata ngoma moja ya maana kwa rekodi niliyonayo hakuna hata track yake moja iliyowahi kuskia kwenye radio yoyote nchini, akajaribu kufanya video akafeli.
3.soggy: huyu pia ameshindwa kwenda na wakati tangu ameanza mziki mwaka 1996 hadi leo 2011 bado unachana vile vile huna swagga.
4. rama dee: huyu ndiye anayenishangaza kwani kama kuna radio imempa promo bac ni clouds kwani sijawahi kumsikia radio yoyote, huyu ni mzigo wa mavi habebeki kwani ameshindwa kufikia level ya kina diamond kwani hajui anataka kuimba nini.
5.suma gee: huyu cha pombe hata sura yake ukiiangalia unapata jibu kwanini alifeli.
6.dani msimamo: sina zaidi hajawahi kufanya la maana kwenye hii gem. ila nampa big kwa maskio yake yaliyojitokeza kwa ajili ya usnitch
7. sugu: bwana misosi kwenye nitoke vipi alishasema kwamba sugu wabongo wamemchoka na wamemtema,toka kipindi hicho 2003 na ndio maana uzinduzi wa mwisho sugu alipata watu 8 pale diamond.

kwa kumalizia hii crew yote ni watu waliofeli na wamebaki kudanganyana badala ya kuangalia waliteleza wapi na wajirekebishe.Hii show itafeli tu, tuko hapa tusiandikie mate wakati wino upo.

naomba kuwasilisha.

Umetumwa wewe huna jipya! By the way huyu ni Adili ft. Nikki wa II and G-Nako - kikazi.m4v - YouTube
 
Katika watu wanafki wewe no1 duniani,kama ni mwanaume unaelekea kuwa kamerun.kwanza ujatembea na maisha ya mastaa ya nchi zingine ujaona achilia mbali ulaya hapa africa nenda nigeria dbanj ananyumba ya hatari ya dola mil 1 sawa na madafu bil 1.8 bado wakina p squre 2face obonio, gatisule, j martin nk. Ok labda utasema wanaimba kingeleza kuna wakina jose chamilione wa uganda beib cool redio waisel wanaimba kiganda na kiswahili wana pesa mbaya, leo hii kazi alizofanya mtu kama profesa j. Hata dbanj ajagusa wala yoyote uganda kwa vina na meseji, wapi nature, mr nice, leo wamechoka hata gari shida sasa watanzania tuko mil 40 fanya bado kenya uganda burundi uganda, msanii auze nakala milioni moja tu, na katika kila cd na tape yake sh 500 zidisha jumla ni milioni 500,000,000,000. Milion 500 kwa albamu 3. Bado shoo matangazo nk. So ni sahii kufanya shoo na kutangaza mziki ni hunalipa na si mchezo, kusaga anapata pesa nyingi sana anawanyonya watu mnamleta msanii kutoka ulaya mnampa dola laki mbongo laki 5 kisa mumpigie nyimbo zake then mbongo anashangiliwa kuliko msanii wa ulaya nilienda fiesta lily kim alikuiwa ashangiliwi leaders club kwa aibu wakamwita nuture ampe kampani inasikitisha kwa kweli clouds ni mapaka shume na wewe unaowaponda wakina sugu ni mbinafsi sana na nafsi yako inakusuta wakutete clouds wakina ruge mutahaba mbaki mutahaba kemy mutahaba faudhia mke wakusaga nk si wewe labda kama kusaga ni jamaa yako. Mambo kama ya uk.(Kamerun) acha unafki na mwenye no ya waandaji tamasha anitumie niwachangie pesa.
 
wewe adili anakujua nani? usitafute promo kwa nguvu na za kijinga,fanya kazi ya maana utaonekana tu,sijawai kukuskia radioni kukuona kwenye tv hata ch 5 sasa hii tv pia ni ya clouds? kwani na huko wanakubania? mbona wasanii wengine wanaonekana? iweje unapiga yowee ili mradi uskike tu!!! fanya kazi kaka utaonekana tu.

issue ya kudanganya wadau kwamba account yako imekuwa hacked ni uzushi mtupu ya kutafuta promo maana sugu ameona issue hii haijapata promo yoyote sasa mnaleta za kuleta sasa hii ni aibu na inahitaji kujipanga na siyo kukurupuka.Kufanya tamasha kubwa kama mnavyojigamba si kazi rahisi na ndio maana imebidi mpeleke mbele kwani mlikurupuka.Hata hiyo tare 26 tuko hapa hakuna kitachotokea.

mimi niko neutral siko upande wowote ila nawashangaa wasanii hawa wachache wanaomuunga mkono sugu kwasababu zifuatazo:

1. wagosi wa kaya: hawa wamejifelisha wenyewe kwani hawakwenda na wakati,style yao ni ile ile miaka nenda rudi, wakachokwa.
2.mapacha: walishindwa kuusoma mziki kuona mashabiki wanapenda nini, wao wakaimba wanavyopenda wao na matokeo yake wakafeli.
3. adili: alijaribu mziki akashindwa, hajawahi kutoa hata ngoma moja ya maana kwa rekodi niliyonayo hakuna hata track yake moja iliyowahi kuskia kwenye radio yoyote nchini, akajaribu kufanya video akafeli.
3.soggy: huyu pia ameshindwa kwenda na wakati tangu ameanza mziki mwaka 1996 hadi leo 2011 bado unachana vile vile huna swagga.
4. rama dee: huyu ndiye anayenishangaza kwani kama kuna radio imempa promo bac ni clouds kwani sijawahi kumsikia radio yoyote, huyu ni mzigo wa mavi habebeki kwani ameshindwa kufikia level ya kina diamond kwani hajui anataka kuimba nini.
5.suma gee: huyu cha pombe hata sura yake ukiiangalia unapata jibu kwanini alifeli.
6.dani msimamo: sina zaidi hajawahi kufanya la maana kwenye hii gem. ila nampa big kwa maskio yake yaliyojitokeza kwa ajili ya usnitch
7. sugu: bwana misosi kwenye nitoke vipi alishasema kwamba sugu wabongo wamemchoka na wamemtema,toka kipindi hicho 2003 na ndio maana uzinduzi wa mwisho sugu alipata watu 8 pale diamond.

kwa kumalizia hii crew yote ni watu waliofeli na wamebaki kudanganyana badala ya kuangalia waliteleza wapi na wajirekebishe.Hii show itafeli tu, tuko hapa tusiandikie mate wakati wino upo.

naomba kuwasilisha.

ruge kumbe na wewe upo jamii forum nilikuwa sijui
 
jf raha sana,mmempa za uso za kutosha huyo jamaa safi sana mi siongezei kitu
 
kuna kaugonjwa kanaitwa kuchelewa kuja mjini au kuja mjini ukubwani!hako kaugonjwa ndo kanamsumbua Joseph Mbilinyi....
 
clouds kweli wamechanganyikiwa wanahack a/c ya adili haha na hivi sasa wanampandikiza prof j ili aonekane ndo aliyeufanikisha huu mziki wakati sugu ndo legend hata fiesta walifoji sauti ya sugu ili wajaze watu bila kusahau wameonga mamilion kwenye viwanja vya posta shoo isifanyike tuungane tar 26/11 viwanja vya ustawi ANTIVIRUS WITH NO APOLOGY
 
prof J mwenyewe kundi la HBC kapokewa na concert lake la kwanza kupanda ilikuwa Korean Culture!enzi hizo Terry a.k.a Fanani wayback wanakimbiza mjini!proj J na SUGU wote game wameikuta!heshima ya Prof J ni kufanya mapinduzi ya mashairi!Heshima ya SUGU ni kuufanya mziki kazi
 
wewe adili anakujua nani? usitafute promo kwa nguvu na za kijinga,fanya kazi ya maana utaonekana tu,sijawai kukuskia radioni kukuona kwenye tv hata ch 5 sasa hii tv pia ni ya clouds? kwani na huko wanakubania? mbona wasanii wengine wanaonekana? iweje unapiga yowee ili mradi uskike tu!!! fanya kazi kaka utaonekana tu.

issue ya kudanganya wadau kwamba account yako imekuwa hacked ni uzushi mtupu ya kutafuta promo maana sugu ameona issue hii haijapata promo yoyote sasa mnaleta za kuleta sasa hii ni aibu na inahitaji kujipanga na siyo kukurupuka.Kufanya tamasha kubwa kama mnavyojigamba si kazi rahisi na ndio maana imebidi mpeleke mbele kwani mlikurupuka.Hata hiyo tare 26 tuko hapa hakuna kitachotokea.

mimi niko neutral siko upande wowote ila nawashangaa wasanii hawa wachache wanaomuunga mkono sugu kwasababu zifuatazo:

1. wagosi wa kaya: hawa wamejifelisha wenyewe kwani hawakwenda na wakati,style yao ni ile ile miaka nenda rudi, wakachokwa.
2.mapacha: walishindwa kuusoma mziki kuona mashabiki wanapenda nini, wao wakaimba wanavyopenda wao na matokeo yake wakafeli.
3. adili: alijaribu mziki akashindwa, hajawahi kutoa hata ngoma moja ya maana kwa rekodi niliyonayo hakuna hata track yake moja iliyowahi kuskia kwenye radio yoyote nchini, akajaribu kufanya video akafeli.
3.soggy: huyu pia ameshindwa kwenda na wakati tangu ameanza mziki mwaka 1996 hadi leo 2011 bado unachana vile vile huna swagga.
4. rama dee: huyu ndiye anayenishangaza kwani kama kuna radio imempa promo bac ni clouds kwani sijawahi kumsikia radio yoyote, huyu ni mzigo wa mavi habebeki kwani ameshindwa kufikia level ya kina diamond kwani hajui anataka kuimba nini.
5.suma gee: huyu cha pombe hata sura yake ukiiangalia unapata jibu kwanini alifeli.
6.dani msimamo: sina zaidi hajawahi kufanya la maana kwenye hii gem. ila nampa big kwa maskio yake yaliyojitokeza kwa ajili ya usnitch
7. sugu: bwana misosi kwenye nitoke vipi alishasema kwamba sugu wabongo wamemchoka na wamemtema,toka kipindi hicho 2003 na ndio maana uzinduzi wa mwisho sugu alipata watu 8 pale diamond.

kwa kumalizia hii crew yote ni watu waliofeli na wamebaki kudanganyana badala ya kuangalia waliteleza wapi na wajirekebishe.Hii show itafeli tu, tuko hapa tusiandikie mate wakati wino upo.

naomba kuwasilisha.

kiazi wewe eti Adili hana ngoma iliyowahi kuhit hivi unafuatilia mziki wewe au unakurupuka tu? Unakumbuka ngoma ya peke yangu ilifika level gani kwenye media za bongo?
Eti wengine hawana swagga muangalie Temba anarap vp? Tena ulivyokua kilaza unamdic hadi Dan Msimamo jamaa ambaye ngoma zake hazijachakaa mpaka kesho
 
ana album kam a saba hivi kwenye laptop yake but kwa kuwa yeye ni KINEGA hataki kunyonywa na wadosi akishirikiana na WAHAYA wa clouds kwa kuwa wao ni ma VIRUS wanajaribu kuwaondoa hao virus kwanza then ndio watakuja na album zao

Ok! sijui bwana mi sina nia ya kuwakatisha tamaa kina sugu,simpendi ruge kwanza sio mtu wa mjini mshamba tu sema ana bahati,wakifaniiwa kina sugu itakua poa sana,ila adili naona ni kama game ilimshimda yeye mwenyewe kama kikapu na soka vilivyomshinda awali,kuna kipindi nalisikia alikua video producer ama something kwa msaada wa kaka yake daudi lakini tena nasikia nako kashindwa,yule ni mdogo wangu namjua sawasawa mpaka dada zake kina Hawa n.k. ametoka familia ya wasomi,mi ningemshauri arudi shule,ameshapoteza muda mwingi sana kwa kumfuata profesa J aliempoteza,sasa tena yuko na sugu!!wenzake hao umri umeenda wanafanya maisha,yeye bado mdogo arudi shule,game limemkataa,miaka yote hiyo ya kuwa pembeni na ma super star kama j angekuwa wa kutoka angeshatoka,wametoka kina Chid benz bwana ...!Leo hii adili nani anamjua ukiacha watu wa mbeya na sisi kaka zake wachache hapa???ndio maana unaona hata humu si watu wengi wanamuongelea,hajulikani!

Adili mdogo wangu kama unanisoma hapa,nakushauri urudi shule,acha kina two proud waendeleze harakati,tayari wameshayaweza maisha,ninayo namba ya sizza kimiti nitamtafute akukalishe chini sijui kama bado unamsikiliza kaka yako yule kama zamani enzi zile pale uzunguni,maana na yeye pia alichangia kukuharibu kwa kupenda "unyamwezi" na kuvaa casual dress,siku hizi sizza kakua,ana busara nyingi sana,hataki upuuzi huo tena,atakua msaada mkubwa sana kwako mdogo wangu.
 
clouds wanapiga nymbo ya gwm yamenikuta wanaibana verse ya sugu na watampenda tu huwezi kuzungumza mziki bila kumtaja sugu mwisho wa ubaya ni aibu
 
prof J mwenyewe kundi la HBC kapokewa na concert lake la kwanza kupanda ilikuwa Korean Culture!enzi hizo Terry a.k.a Fanani wayback wanakimbiza mjini!proj J na SUGU wote game wameikuta!heshima ya Prof J ni kufanya mapinduzi ya mashairi!Heshima ya SUGU ni kuufanya mziki kazi

Kuna tetesi kuwa prof j alimuua fanani kimziki kwa kumbania kwenye media coz jamaa alikuwa na uwezo wa kumfunika jay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom