Hawa jamaa ni noma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa jamaa ni noma!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by lunogelo, Nov 8, 2011.

 1. l

  lunogelo Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Jack Bauer huyu ni mzee wa matukio waliocheki 24hours watakubaliana na mimi ni mtu aliyejitoa sana kwa nchi yake kama kuna taarifa anaihitaji kutoka kwako ataipata kwa namna yeyote ile.

  2. Chloe O'brian huyu dada naye ameshiriki ktk 24hours alifit sana ktk mambo ya mambo ya kucheza na computer ni mtu aliyefanikiwa kuiboronga na kutibua mipango mingi ya kigaidi ingawa hajui hata kushika pistol

  3. Presiden Charles Rogan wa 24hours jamaa ni muoga ile mbaya ingawa kuamlisha kuua kwake haikua ishu kila jambo alilofanya lilikua kwa maslahi yake.

  4. Michael Scorfield wa Prison Break ni jamaa mpole sana ingawa ana akili zilizopitiliza kifo chake mwisho wa series umeuzunisha wengi.

  5. Lincoln Burrows ktk Prison Break ni jamaa mwenye hasira sana alipitia misukosuko sana mjomba huyu akipoint a gun kuja kwako ujue anakupiga kweli.

  6. Theodore Bagwell "T-Bag" mzee wa kula watu viboga gerezani mkatili ile mbaya mara zote yeye ni mtu wa kutibua mipango. Aliondoka na bag ya pesa akawaachia wenzake vitabu.

  7. Benjamin ktk series za Lost ni mpole lakini viza vyake.

  8. Jumong ktk series za Jumong kutoka korea userious wake ni noma ile mbaya jamaa anapiga panga mwanzo mwisho.

  9. Young Po ktk series za Jumong ana mkosi ile mbaya kila alifanyalo lina bounce
   
 2. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  allex mahone; huyu ndiyo kila kitu maana ndiye mtegua vitendawili..vya huyo michael!!!!
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  geneza la mama mathai.jpg

  Profesa Mathaai alijiamulia maziko yake
  ambayo hayataharibu mazingira.  obama na Maathai Wangari.jpg
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  bonge la harusi.jpg

  kwangu mtu maarufu zaidi ni huyu mama mwenye miaka 82
  aliyeamua kufunga ndoa.
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Da anaonekaan huyu bibi kizee ni mbabe kweli !
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huyu mama kafunja rekodi,du! miaka 82 sio mchezo kwa mtu kuendelea kufikiria mapenzi
   
 7. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hizo zote sijawahi kuziona wala kusikia sasa sijui mimi mtanisaidieaje wapenz wangu
   
 8. Xkalinga

  Xkalinga Senior Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Unakosea sana kuwaweka akina jumong sijui nani na young katika kundi la akina bauer!!!Uwiano haupo labda kwa kuwa siwajui.Mi nasubiri series ambayo bauer atakuwa anamsaka scorfield.Keifer Sutherland fanya mambo
   
 9. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama huwajui wakina JUMONG basi unakosa vitu muhimu sana maishani mwako. Series za jumong zina reflect ukweli wa maisha ya binadamu hasa Watz huku zikionyesha muingiliano wa utawala, siasa na mapenzi. Nina watz wote tungeona series za jumong basi CCM isingekuwa mtawala leo hii.
   
 10. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Katika prison break kweli T-BAG ndio kila ki2 ila umemsahau demu katili GLETCHIN!! ........katika lost yupo m2 anaitwa james soyah ni noumar!!!
   
 11. l

  lunogelo Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  embu jaribu kuzitafuta utaelewa nini tunachomaanisha
   
 12. l

  lunogelo Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeah huyo demu alikua noma na james soyah nae ametisha ndani ya lost kuna kipindi walikua wanashea dem na jack
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  CATE! ila jack boya bin kilaza sizani ht km mzigo alikula!!!
   
Loading...