Recent content by lulambo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jamani kikwete tumpe pongezi zake tuache bifu za kisiasa

    hahahaaaaaaa so funny
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mitihani inayowakabili wanawake: Unapopendwa pale usipopenda....!

    Kwangu sura na maumbile doesn't matter, nikimpata anayenipenda kw dhat na akaweza kusimama kwny zamu yke km mwaume bas ntajifunza kumpenda maisha yakiendelea and i know I will b lyk a Queen to him
  3. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ueni tembo wote waishe,uzeni meno tuimarishe shule kuliko watu binafsi kufaidi

    Naunga mkono hoja, tufaidike wt bana mambo ya kuendeleza operation tokomeza ni story tu wanaonufaika ni wachache aaaaagh tumechoka
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    Ari zaidi kasi zaidi na nguvu zaidi hapana chezea!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Hatari sana, Mangi shop mtaani kwetu kapandisha bidhaa bei nilivomuuluza kw nn? Anasema umeme umepanda, kaaaaaazi kwelikweli, mafuta yakipanda bidhaa bei juu, nauli zikipanda bidhaa bei juu,Leo hii umeme, bidhaa bei juu, lol Mungu ibariki nchi Yang Tanzania
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya 2013: JE, MBUNGE WAKO AMEWAJIBIKA IPASAVYO JIMBONI AU ALIKUWA NI MZIGO TU

    Mi wng ni Emanuel nchimbi, sifuri kbs, na hukumu yake ya kwanza imepita kapigwa chini uwaziri, ya pili 2015
  7. L

    JamiiForums Tanzania Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Hapa nipo kitandani naumwa na hiyo kitu, usiombe isikie tu mkuu, maumivu yake km ya vidonda vya tumbo
  8. L

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Rais Kikwete kuufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014

    ingilia kati ongezeko LA umeme na gas muheshimiwa nami niungane na wanakupongeza
  9. L

    JamiiForums Tanzania Live Update: Yanayo Jiri Katika Kuukaribisha Mwaka 2014

    Nimechaguliwa tena kw NEEMA ya Mungu!happy new year to u all
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2014 Mheshimiwa Rais tafadhali zingatia haya...

    Mmmmh stk kucheka
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nani aweza kuwa kushika dola 2015, je ni ccm au cdm? Why?

    God knows, and tym will tel
  12. L

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

    Lema hapa anakujaje?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuongoza tamasha la 'Boda boda day' Jijini Dar es Salaam

    Hahaaaa jamaa anaandaa mazingira
  14. L

    JamiiForums Tanzania Malinyi Ulanga: Mauaji katika mapambano ya jeshi la polisi na wakulima

    Hawa polisi jamani wanashindwa kudhibiti raia pasipo kuua?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..

    Ebu nitajie na mm huyo M2 nami nimfaham jamaniiii
Back
Top Bottom