mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
Wandugu Niwapongezeni Kwa Kufikia Sekunde Hii Kwani Ni Wengi Hawajafika Na Inatupasa Kumshukuru Mungu. Leo Hii Wana Jf Wameenea Sehemu Mbalimbali Wakiungojea Mwaka, Itakuwa Vyema Kama Utatujukisha Kuwa Uko Wapi Na Nini Kinaendelea. Kunaburudani Gani Hapo Na Nihisia Gani Zimeenea Kuhusu Mwaka Mpya. Tujulishane Pia Wakati Tukisubiri Subiri Ni Nani Alikufurahisha Jamii Forum, Kipi Ulicho Kipenda Na Kipi Haukukipenda. Tena Tutajulishana Kwamba Ni Nani Ameiona Saa Sita Kamili. Hii Itatusaidia Pia Kujua Kuwa Ni Nani Amevuka Na Nani Tumemuacha. Wito Wangu Ni Kwamba Tuanze Mwaka Na Jamii Forum Na Tumalize Mwaka Na Jamii Forum. Karibuni!