Nani anayetutuma? Maana naona povu tu mpaka unaongea kuhusu mambo ya familia hapa,sijui una maanisha nini?? Sisi wanabusega tumemchoka na safari hii hatoboi na kila kitu kiko wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumlinganisha Dr kamani na chegeni ndg yangu! Kamani ni msomi na mbobezi,lakini huyu ni kanjanja tu,mhuni fulani wa siasa,na hata hiyo phd yake haieleweki! Wewe fikiria tu saizi kwamba,hakuna Phd ya chama tawala ambayo haijawahi kulamba uteuzi bungeni isipokuwa ni hii ya chegeni.HAKUNA...
Mbunge wa jimbo la Busega Mhe. Chegeni yuko anafanya ziara kila kata muda huu,anakutana na wajumbe wa mkutano mkuu na Halmashauri Kuu, huku ajenda yake kubwa anasema wagombea mwaka huu ni wengi hivyo na yeye akumbukwe! Kinachofuata ni kila mjumbe anapata 20,000/= na t shirt juu.
Sasa ametoka...
Najua wengi wamempongeza na wanaendelea kutoa pongezi nyingi sana kwa kiongozi wa nchi yetu Mh jemedari Dr John Joseph Magufuli,nami pia nimewiwa,nafsi yangu imeshindwa kujidhuia wala kuridhika kama sitaweza kuandika neno la shukurani hapa.
Mh Rais,wewe ni Baba yetu! wewe ni mlezi wetu na wewe...
Najua wengi wamempongeza na wanaendelea kutoa pongezi nyingi sana kwa kiongozi wa nchi yetu Mh jemedari Dr John Joseph Magufuli, nami pia nimewiwa, nafsi yangu imeshindwa kujidhuia wala kuridhika kama sitaweza kuandika neno la shukurani hapa.
Mh Rais,wewe ni Baba yetu! wewe ni mlezi wetu na...
Habari za usiku ndugu zangu? Poleni na mihangaiko ya majukumu, naomba msaada wa kueleweshwa juu ya namna ya kufahamu kama mama mjamzito ni positive ama negative kupitia kadi yake ya clinic.
Maana hatua ya kwanza kwa mjamzito ni kupima VVU, lakini nimeangalia kadi fulani sijaona palipoandikwa...
Naipenda sana hii kazi ya usalama tangu siku nilipopata tu kusikia na kufahamu neno usalama wa taifa!!
Sema sina namna ya kuweza kuifikia lakini nitaendelea kuitamani sana bila kujali maslahi yake,hata kama ni bure!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.