Busega: Mbunge Raphael Chegeni anagawa rushwa muda huu

Mbunge wa jimbo la Busega Mhe. Chegeni yuko anafanya ziara kila kata muda huu,anakutana na wajumbe wa mkutano mkuu na Halmashauri Kuu, huku ajenda yake kubwa anasema wagombea mwaka huu ni wengi hivyo na yeye akumbukwe! Kinachofuata ni kila mjumbe anapata 20,000/= na t shirt juu.

Sasa ametoka kata ya Kiloleli maeneo ya Masanza kona,anaelekea Nyaluhande,Badugu,Shigala na baadaye Nyashimo.

Tunaomba tuungane kupaza sauti juu ya aina hii ya viongozi,na hii ni kwa sababu ameshaona amepoteza mvuto na lengo lake kuu anataka wagombea wenye nguvu wakatwe ili abaki na wale dhaifu katika kinyang'anyiro na kila uchaguzi hupita kwa njia ya figisu!! Hakika

Busega tunaumia sana!
Inaonekana unamtu wako! Chegeni ni kikwazo.
Ushauri : hiyo ni neema kwa wajumbe, mwambie mtu wako afute nyayo.

Tshs 30,000/= ihusike na shati nadhifu.
 
Wewe chakufanya akikupa hiyo ishirini chukua kula haina shida alafu jina lisirudi
 
Mbunge wa jimbo la Busega Mhe. Chegeni yuko anafanya ziara kila kata muda huu,anakutana na wajumbe wa mkutano mkuu na Halmashauri Kuu, huku ajenda yake kubwa anasema wagombea mwaka huu ni wengi hivyo na yeye akumbukwe! Kinachofuata ni kila mjumbe anapata 20,000/= na t shirt juu.

Sasa ametoka kata ya Kiloleli maeneo ya Masanza kona,anaelekea Nyaluhande,Badugu,Shigala na baadaye Nyashimo.

Tunaomba tuungane kupaza sauti juu ya aina hii ya viongozi,na hii ni kwa sababu ameshaona amepoteza mvuto na lengo lake kuu anataka wagombea wenye nguvu wakatwe ili abaki na wale dhaifu katika kinyang'anyiro na kila uchaguzi hupita kwa njia ya figisu!! Hakika

Busega tunaumia sana!
NATAMANI NIONANENAE ANIPE 200000
 
Ni wa chama gani
 
hawa ni ndugu wanajuana, yaani chegeni na kamani wote ni mule mule tu, nikikumbuka kipindi cha kura za maoni 2015 ilikua ni shida aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumlinganisha Dr kamani na chegeni ndg yangu! Kamani ni msomi na mbobezi,lakini huyu ni kanjanja tu,mhuni fulani wa siasa,na hata hiyo phd yake haieleweki! Wewe fikiria tu saizi kwamba,hakuna Phd ya chama tawala ambayo haijawahi kulamba uteuzi bungeni isipokuwa ni hii ya chegeni.HAKUNA PHD HAPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa jimbo la Busega Mhe. Chegeni yuko anafanya ziara kila kata muda huu,anakutana na wajumbe wa mkutano mkuu na Halmashauri Kuu, huku ajenda yake kubwa anasema wagombea mwaka huu ni wengi hivyo na yeye akumbukwe! Kinachofuata ni kila mjumbe anapata 20,000/= na t shirt juu.

Sasa ametoka kata ya Kiloleli maeneo ya Masanza kona,anaelekea Nyaluhande,Badugu,Shigala na baadaye Nyashimo.

Tunaomba tuungane kupaza sauti juu ya aina hii ya viongozi,na hii ni kwa sababu ameshaona amepoteza mvuto na lengo lake kuu anataka wagombea wenye nguvu wakatwe ili abaki na wale dhaifu katika kinyang'anyiro na kila uchaguzi hupita kwa njia ya figisu!! Hakika

Busega tunaumia sana!
Siasa feki hizo hamuwezi kumtoa chegeni kwa staili hiyo la msingi ni kuingia front na si kutumiwa majungu na kupost mitandaoni na anayewatuma anawadanganya bali hawezi kuwa hata mtendaji wa mtaa. Kwani hata family tu imemshinda.
 
Nani anayetutuma? Maana naona povu tu mpaka unaongea kuhusu mambo ya familia hapa,sijui una maanisha nini?? Sisi wanabusega tumemchoka na safari hii hatoboi na kila kitu kiko wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani anayetutuma? Maana naona povu tu mpaka unaongea kuhusu mambo ya familia hapa,sijui una maanisha nini?? Sisi wanabusega tumemchoka na safari hii hatoboi na kila kitu kiko wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai kuwa busega tuna tatizo la kiuongozi ila mbinu tunazotumia hazisaidii twendeni vijijini tuwaeleze wazee na si humu mitandaoni, kwani mara anagawa 10,000/= mara 20,000/= wapiga kura wa busega hawapo jamii forum. LET BE SERIOUS BWANA.
 
Back
Top Bottom