Busega: Mbunge Raphael Chegeni anagawa rushwa muda huu

Mbunge wa jimbo la Busega Mhe. Chegeni yuko anafanya ziara kila kata muda huu,anakutana na wajumbe wa mkutano mkuu na Halmashauri Kuu, huku ajenda yake kubwa anasema wagombea mwaka huu ni wengi hivyo na yeye akumbukwe! Kinachofuata ni kila mjumbe anapata 20,000/= na t shirt juu.

Sasa ametoka kata ya Kiloleli maeneo ya Masanza kona,anaelekea Nyaluhande,Badugu,Shigala na baadaye Nyashimo.

Tunaomba tuungane kupaza sauti juu ya aina hii ya viongozi,na hii ni kwa sababu ameshaona amepoteza mvuto na lengo lake kuu anataka wagombea wenye nguvu wakatwe ili abaki na wale dhaifu katika kinyang'anyiro na kila uchaguzi hupita kwa njia ya figisu!! Hakika

Busega tunaumia sana!

IMG-20200524-WA0026.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....

Anajisumbua, hilo jimbo ni kati ya majimbo ambayo tumeshayatoa kwa wabunge wageni waliojiunga nasi.
 
Mbunge wa jimbo la Busega Mhe. Chegeni yuko anafanya ziara kila kata muda huu,anakutana na wajumbe wa mkutano mkuu na Halmashauri Kuu, huku ajenda yake kubwa anasema wagombea mwaka huu ni wengi hivyo na yeye akumbukwe! Kinachofuata ni kila mjumbe anapata 20,000/= na t shirt juu.

Sasa ametoka kata ya Kiloleli maeneo ya Masanza kona,anaelekea Nyaluhande,Badugu,Shigala na baadaye Nyashimo.

Tunaomba tuungane kupaza sauti juu ya aina hii ya viongozi,na hii ni kwa sababu ameshaona amepoteza mvuto na lengo lake kuu anataka wagombea wenye nguvu wakatwe ili abaki na wale dhaifu katika kinyang'anyiro na kila uchaguzi hupita kwa njia ya figisu!! Hakika

Busega tunaumia sana!

Ni wa chama gani? wale wa ccm polepole aliwaambia waanze kazi, na hiyo ni moja wapo ya mbinu za ccm.
UKIMKAMATA UTAAMBIWA ALIKUWA ANATOA TAKRIMA
 
Mbunge wa jimbo la Busega Mhe. Chegeni yuko anafanya ziara kila kata muda huu,anakutana na wajumbe wa mkutano mkuu na Halmashauri Kuu, huku ajenda yake kubwa anasema wagombea mwaka huu ni wengi hivyo na yeye akumbukwe! Kinachofuata ni kila mjumbe anapata 20,000/= na t shirt juu.

Sasa ametoka kata ya Kiloleli maeneo ya Masanza kona,anaelekea Nyaluhande,Badugu,Shigala na baadaye Nyashimo.

Tunaomba tuungane kupaza sauti juu ya aina hii ya viongozi,na hii ni kwa sababu ameshaona amepoteza mvuto na lengo lake kuu anataka wagombea wenye nguvu wakatwe ili abaki na wale dhaifu katika kinyang'anyiro na kila uchaguzi hupita kwa njia ya figisu!! Hakika

Busega tunaumia sana!
Si umesema hakubaliki na amepoteza mvuto!? Sasa nikupe maujanja; hela yake chukueni na t shirts zake vaeni ila kwenye kura mnampiga chini!
 
Back
Top Bottom