Tunaotafuta Kazi Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) Tukutane Hapa

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
7,230
2,000
Sasa Mazero Brain yaliyojazana huko kutoka UVCCM na mimi nani Garasa? Je mimi nayeamini habari za kigogo na wewe unayeamini habari za Mayagi Mulaga ,nani zaidi? Kati ya Mulaga na Kigogo nani anayetoa habari za kweli?

1.Unajua kigogo alitoa taarifa ya kutumbuliwa kapilimba masaa ma3 kabla?
2.Unajua kwamba kigogo alisema kwamba raphael aliyetekwa ataenda kutupwa kwenye na kweli kesho yake aliokotwa mombasa.
3.Haya kigogo kasema Msechu au kafuru ameyapeleka mafaili yao kwa Meko kwa ajili ya uteuzi,subiri sasa uje kuona.
4.Prof wa BOT atatumbuliwa mda wowote ngoja tusubiri.

Unajua kwamba Mange ndio aliyefichua lengo la BASHITE kuwataka wakazi wa DAR kuondoa TINTED kwenye MAGARI?
Kasema pia mbowe katafuna bil 1.9 ya chadema, hapo vipi?
 

lukwila

Member
Dec 3, 2017
45
125
Naipenda sana hii kazi ya usalama tangu siku nilipopata tu kusikia na kufahamu neno usalama wa taifa!!
Sema sina namna ya kuweza kuifikia lakini nitaendelea kuitamani sana bila kujali maslahi yake,hata kama ni bure!!
 

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,783
2,000
kujiunga simple tu.…. tengeneza kitambulisho kama hichi…. wasipokupangia kwenye kikosi maalumu basi watakupa ukuu wa wilaya
NB: UVCCM card is mandatory

View attachment 1207138
Kwanza huyu atawadanganya wajinga wenzake. Kitambulisho Cha mtu wa usalama wa taifa hakiko hivi. Yaani huyu mtu nikikutana nae akanitishia kwa kunionyesha huu upuuzi eti Ni kitambulisho namkata makofi Kama matatu ya harakaharaka kwanza harafu namuitia polisi wakamuhifadhi mahali salama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom