Wakupaza sauti ni wananchi wa nchi hii hii ya Makabwela? au unawasemea waarabu wa kaskazi. Tutabulutwa hadi mwaka 2025.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyota yako ishachukuliwa inafanya kazi sehemu tena ina mafanikio makubwa sana ushauri wa bure jaribu kuwaona watalaamu wa Nyota na kumshirikisha Mungu kwa hilo. Don't giv Up
Ndugu wanajamvi,
Nashindwa kutambua kuna mahusiano gani kisaikolijia, kiimani, ama kwa njia nyingine yoyote ile kuwa nyoka hata awe na mbwembwe kali kiasi gani wala sumu hata angekuwa mkubwa kiasi gani lakini hawezi kumdhuru mapacha ( 2 na zaidi waliokaa ndani ya tumbo 1 la mama na kuzaliwa...
Pumba kabisa hawa viongozi walishaiweka Dar ndo majaribio ya ziara za kushtukiza na hali nchi hii ni kubwa kuliko acheni kutuhadaa Watanzania na madudu ni mengi mikoani na kwenye halmashauri zetu zinanuka zimeoza hebu njooni na huku mjionee wenyewe nchi ilivo
Watanzania ni watu wa kukurupuka na mambo ya magharibi nyie endeleeni nayo tu na muendelee kufupisha na kurahisisha matamshi na maandishi maana mnapenda sana vya kunyonga baada ya kifo mtakutana na vya kuchinja kazi kwenu lol endeleeni na hiyo LOL yenu
Halmashaur ya jiji la Mbeya Limeingia katika mgogoro na wananchi ni baada ya kuuza viwanja mara zaidi ya mbili eneo la Sistila pia halmashaur hiyo Imeshindwa kutangaza Zabuni kwa Mwaka wa fedha 2015/2016 kutokana na Rushwa Ufisadi na Uozo uliopo Halmashauri hapo Tunaziomba Taasisi mbalimbali...
Kwa Halmashauri ya Jiji Mbeya hilo ni La kawaida sanaaa yapo makubwa zaidi ya hayo Ila kiujumla Halmashauri ya Jiji Mbeya Imeozaaa Inanukaaa Wazir mkuu Pinda Tuondolee uozo huu. Na lingine ni kwamba mwaka huu wamegoma kutangaza Zabuni ya aina yoyote huo si ndo wizi na Uozo?
Mtu asiejulikana ameuawa na wananchi wenye jazba kubwa maeneo ya Iwambi Mbeya baada ya jaribio lake la kutaka kuiba kwenye duka la bwana mmoja aitwae Ben .
Hivo basi tunaiomba vyombo husika vije viuchukue mwili wa mwizi huyoo.
Samahani picha hazikufaa kuwa kwenye mtandao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.