Uozo, Rushwa, Ufisadi ndani ya Halmashauri ya Jiji Mbeya.

Uozo, Rushwa, Ufisadi ndani ya Halmashauri ya Jiji Mbeya.

Lukosomolo

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
56
Reaction score
12
Halmashaur ya jiji la Mbeya Limeingia katika mgogoro na wananchi ni baada ya kuuza viwanja mara zaidi ya mbili eneo la Sistila pia halmashaur hiyo Imeshindwa kutangaza Zabuni kwa Mwaka wa fedha 2015/2016 kutokana na Rushwa Ufisadi na Uozo uliopo Halmashauri hapo Tunaziomba Taasisi mbalimbali zinazohusika kuweza kuisaidia jamii na Serikali kwa ujumla ikiwemo ya kupambana na Rushwa ili Kuweza kutupatia ufafanuzi juu ya Hilo
 
halmashauri hii nilijua ni wachache wanakereka kumbe tupo wengi
1 hii ndo halmashauri yenye miungu watu pale, ukiwa mtendaji mzuri utafanyiwa fitna
2 halmashauri ambayo , mhasibu ana maamuzi kuliko mkurugenzi ,
3 mtunza mafaili masijala nae anajifanya afisa utumishi.
4halmashauri isiyojali wafanyakazi wanaojiendeleza kimasomo, kila wakati wao accont haina hela
5 halmashauri ambayo wezi wanaonekana waziwazi bila kificho, na wanaiba kila leo
6 halmashauri ambayo unaweza anza kazi leo na baada ya mwezi ukanunua gari pasipo tegemea mikopo.
7 halmashauri ambayo ni kama haina mkurugenzi kabisaaaaa.Ndo maana walimfanyia fitna JUMA iDDI saa mkurugenzi ARusha
 
Back
Top Bottom