Habari zenu ndugu!!
Nipo Dodoma. Ninategemea siku chache zijazo Mungu akijaalia uzima, nitasafiri kwenda Arusha.. Lakini safari yangu ya Arusha itaanzia Dar Es Salaam.
Ninategemea kusafiri kwa basi. Ombi langu kwenu ni, kuomba mnijulishe mabasi ni mabasi ya kampuni gani ambayo ni Luxury (First Class) kutoka Dar kwenda Arusha na pia nauli ni shilingi ngapi?
NB:
Ikumbukwe kuwa Sumatra wametenga mabasi kwa kufuata madaraja. Kuna Luxury, Semi Luxury na Ordinary classes.
Mfano. Nauli kutoka Dodoma kwenda Dar kwa Luxury ni Tsh 40,000/- wakati kwa Semi Luxury ni Tsh 20,000/-
Je, Dar - Arusha je?