Recent content by Lukaku16

  1. Lukaku16

    Kipindi cha Sports Extra cha clouds FM kibadilishwe jina?

    Brother elewa swali, kipindi kikibeba issue za soccer tu kila siku na kina dogo Mohammed Matumla tutawasikia wapi story zao...... ..?
  2. Lukaku16

    Kipindi cha Sports Extra cha clouds FM kibadilishwe jina?

    Nadhani wewe ndo unawaza udaimond na ukiba,,,,,, mimi hata ukija kwenye Playlist yangu hakuna hata nyimbo zao kwasababu huwa sina time nao... Zaidi utakutana na Mwana FA, Nikki Mbishi, Chindoman, One Incredible, Galinoma, Jah Kimbute, Msondo nk.
  3. Lukaku16

    Kipindi cha Sports Extra cha clouds FM kibadilishwe jina?

    99.6% ya mzigo ni soccer
  4. Lukaku16

    Kipindi cha Sports Extra cha clouds FM kibadilishwe jina?

    Hivi naomba kuuliza kwenu waungwana, nyie mnaonaje hiki kipindi cha kila siku saa 3-4 usiku kupitia clouds fm, kiendelee kuitwa Sports Xtra au kibadilishwe jina na kiitwe Soccer Xtra? Najaribu kuwaza tu bandugu............ [emoji26] [emoji26] [emoji26]
  5. Lukaku16

    Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

    Fungua bhana tafadhari,,,, nataka sana kuchat na ww, sijui itakuwa wazi saa ngapi
  6. Lukaku16

    Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

    Tena ww Mzigua90 nimekuja sana pm yako lkn umeitia makuta marefu mapana na mazito + magril utafikiri umehifadhi mkataba wa muungano wa jamhuri ya tanganyika na zanzibar bhana...... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  7. Lukaku16

    Naomba nikaribishwe

    Karibu sana...
  8. Lukaku16

    Aliyekuwa mkuu wa upelelezi adai Trump hana maadili ya uongozi

    Sawasawa, sasa kidogo nimepata picha halisi ya movie ya Comey vs Trump
  9. Lukaku16

    James Comey vs Donald Trump

    Jamaa walitofautiana nini hadi mzee Trump akaamua kumfuta kazi ya ukurugenzi wa FBI huyu bwana, na hatimaye Comey ameandika kitabu "Fire And Fury" na katika moja ya interview na chombo cha habari ameongea dhahiri kuwa "Trump is morally unfit to be commander in chief." Kuna nini kinachoendelea...
  10. Lukaku16

    Wanawake mnajiona keki

    Wow, beautiful smile, beautiful look, yani beautiful beautiful beautiful beautiful everything in you and your comments are beautiful too........ ..... Nimekupenda bure
  11. Lukaku16

    Natafuta mume "very serious"

    Hahaha, why?
  12. Lukaku16

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Cadabra hupenda sana kujisifu
  13. Lukaku16

    Rais ajae atakuja kubadili uendeshaji wa ATCL ila kwa sasa litabebwa kwa nguvu zote

    Huwa siachi kusoma threads zako brother Pascal Mayala
Back
Top Bottom