Recent content by Lufulandama

  1. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: CCM malaghai, Bunge liagize ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya Shilingi Trilioni 1.5 za Watanzania

    Sasa mahakama ya mafisadi imfunge nani jamani? Mzalendo na mpenzi wa aliye juu anasemaje? Nafikiri hadi 2020 ataweka record nyingi
  2. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kumtambulisha Diamond na Meneja wake likoje ?

    Bashite anaweza kutambulisha hata binti yake wa kazi,sasa watamfanyaje wakati baba ni wake
  3. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makanisani zaka zimepungua, zilikuwa zinatolewa na Mafisadi. Ahoji waraka kutotolewa Kibiti

    Kama rais huyu ataongoza awamu nyingine,uhakika wa kutibiwa akili utakuwepo,miaka 2 tu yuko kama amechanganyikiwa
  4. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Je, Kitila Mkumbo upo tayari kufuta kauli zako kuhusu CCM?

    Hili liprofesa ni hovyo kama lenzie liprofesa lipumba
  5. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kuthibitisha ugaidi wa Lwakatare Mahakamani, nani atayaamini tena maigizo ya Mwigulu?

    Mwigulu ni hovyo kati ya watu hovyo tulionao Tanzania kwa sasa
  6. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania CCM yaitaka Polisi imhoji Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa CHADEMA walioshiriki maandamano yasiyo halali

    Kichwa cha huyu jamaa Mwonekano wake kwa nje tu unajua kuna shida kubwa,kichwa njiti.
  7. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Hivi "Young" ni sawa na "Yanga"?

    Upumbavu tu wala huwezi kuita Yanga halafu ukasema young,ujinga namba 2
  8. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Sheikh wetu Mussa Alhad kwa huyu Mange hayako sawa

    Nimesikia kaaambiwa maombi yake hayatavuka hata nguzo za umeme kwenda juu, sasa mange anapatwaje na majini kwa Trump
  9. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Mtulia: "Ukichagua Mbunge wa CCM umechagua daraja la maendeleo"

    Anampenda Magufuli Balaaa
  10. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Kampeni zimeanza ila kuna watu wawili hawaonekani

    Si kuna mahakama ya Watu hao iliundwa au? Imeshafunga hata mmoja basi ianze na Nyarandu
  11. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Huwezi kunywa sumu huna ubavu wewe,tabia yako ya kike utaweza kujiua?kula tu nafaka ushibe ukanye vichakani ulale
  12. Lufulandama

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Gazeti la Bingwa na Simba ulianzia wapi?

    Bingwa au dimba nayo ni magazeti ya kusoma?mie nasoma blogs tu za watu kwa mbali na kwakujilazimisha husoma championi na mwanaspoti ingawa kwa mwaka huu sijayasoma pia,tanzania vyanzo vya habari magumashi na inahitaji moyo sana.
Back
Top Bottom