Hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kumtambulisha Diamond na Meneja wake likoje ?

Leo katika hafla ya usimikaji wa RADAR, nimeona jambo ambalo sikuelewa dhamira ya Mkuu wa Mkoa wetu ilikuwa nini. Amemtambulisha Diamond na meneja wake kana kwamba wana umuhimu mkubwa zaidi ya hata mawaziri kina JAFFO na KIGWANGWALA ambao walikuwepo.Nini tafsiri ya hili jambo?
Wa tz tunawivu wa ajabu mond mpen haki yake tu
Tusimuhukumu kwa mapungufu yake bado yuko katika foolsh age lakin ndio ka invest vya kutosha na ndio aneipeperusha bendera ya taifa katika maswala ya burudani

Ukifuata historia yake maisha anastahil na pia anajua kujitoa katika jamii
 
Washa king'amuzi cha Azama, tune channel namba 122. Halafu jikumbushe historia ya maisha ya Diamond Platinumz, kutoka kwenye kuiba cheni ya mama yake hadi sasa kuweza kumiliki TV, acha tu namna analipaisha jina la Tanzania katika tasnia ya mziki, acha tu anavyowalazisha wageni kujifunza kiswahili ili waweza kuimba nyimbo zake, ukishayatafari hayo bila shaka utajua kwa nini anapata heshima ya kutambulishwa. Usisahau pia kuwa ni muwakilishi wetu katika mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika huko Russia. Bila kusahau kuwa ndiye yeye pekee aliyepeperusha bendera ya Tanzania katika kombe la mataifa ya Africa.
Asante sana
 
Leo katika hafla ya usimikaji wa RADAR, nimeona jambo ambalo sikuelewa dhamira ya Mkuu wa Mkoa wetu ilikuwa nini. Amemtambulisha Diamond na meneja wake kana kwamba wana umuhimu mkubwa zaidi ya hata mawaziri kina JAFFO na KIGWANGWALA ambao walikuwepo.Nini tafsiri ya hili jambo?
Hili nalo unashangaa??
 
Diamond haikuwa sehemu yake hiyo. Pale yeye alikuwa kama mtazamaji kama watu wengine. Hivyo haikuwa sahihi kumtambulisha. Nataka niwambie kila mtu na sehemu yake. Diamond anastahili kukaribishwa na kumtambulishwa kwenye makongamano ya Tasnia ya Michezo na Burudani na sio vingine. Haipaswi kuleta mambo ya comedy kwenye mambo ya msingi ya nchi. In short Bashite kabugi. He proved himself failures 0 = 0 no changes.
 
Leo katika hafla ya usimikaji wa RADAR, nimeona jambo ambalo sikuelewa dhamira ya Mkuu wa Mkoa wetu ilikuwa nini. Amemtambulisha Diamond na meneja wake kana kwamba wana umuhimu mkubwa zaidi ya hata mawaziri kina JAFFO na KIGWANGWALA ambao walikuwepo.Nini tafsiri ya hili jambo?

Makonda ni mlezi wa WCB anajaribu kumtengenezea diamond connection aogopwe na kina shonza na Ruge
 
Makonda shule haipo, kichwa kimejaa kamasi tu, ni wa kumpuuza hana akili. He is a retard
 
Leo katika hafla ya usimikaji wa RADAR, nimeona jambo ambalo sikuelewa dhamira ya Mkuu wa Mkoa wetu ilikuwa nini. Amemtambulisha Diamond na meneja wake kana kwamba wana umuhimu mkubwa zaidi ya hata mawaziri kina JAFFO na KIGWANGWALA ambao walikuwepo.Nini tafsiri ya hili jambo?
Diamobd kwa Ba-SHIT-e ni mtu mtakatatifu kuliko hata wale mababa Askofu anaowakejeli.

100% Mungu lazima atashusha rungu kwa wakati wake. tusubiri tu wapendwa!
 
makonda alipofikia ana haki hata ya kutaka watu wapakuane hadharani sababu hana wa kumdhibiti

Amemroga sana maghufuli sijui anaenda wapi Makonda maana mh raisi kashikwa haswa na Makonda hafurukuti
 
Back
Top Bottom