ACT Wazalendo: CCM malaghai, Bunge liagize ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya Shilingi Trilioni 1.5 za Watanzania

Hapo ACT kuna nani mwenye elimu ya weledi wa kufanya ukaguzi??
Tutajiwe na elimu zao na kaguzi walizowahi kuzifanya
 
Naombeni msaada hizi trillion 1.5 zilizopotea zinaoneshwa ukurasa gani?
 
Hapo ACT kuna nani mwenye elimu ya weledi wa kufanya ukaguzi??
Tutajiwe na elimu zao na kaguzi walizowahi kuzifanya
Zitto amekuwa mwenyekiti wa PAC kwa miaka nane na kila mwaka alichambua report za CAG Kwa weledi mkuu
Unadhani Polepole aliwahi kukagua ripoti gani ya kifedha na uchumi maisha yake zaidi ya fedha za kuwanunua madiwani wa upinzani?
 
Hivi kama aliyetuaminisha kuwa ni mzalendo na mpiganaji wa ufisadi anatuibia mchana kweupe 1.5T sasa tumwamini nani?
 
Hizo 1.5T Polex2 alitumia kununua madiwani na wabunge wa Upinzani akijua kuwa watanzania wote ni mandondocha tu hawatajua. Najua sasa hivi wanawaza namna ya kumtumbua CAG kwa kuwaacha 'uchi'
 
Zitto amekuwa mwenyekiti wa PAC kwa miaka nane na kila mwaka alichambua report za CAG Kwa weledi mkuu
Unadhani Polepole aliwahi kukagua ripoti gani ya kifedha na uchumi maisha yake zaidi ya fedha za kuwanunua madiwani wa upinzani?
Yale yaliyo tokea NSSF na miradi ya kule kigamboni vipi hakuyaona?
 
Nilidhania sisiemu wangkuwa na akili kidogo, ya kuwahoji viongozi wa serikali yake, badala ya kuja kutetea jambo ambalo Mkaguzi mkuu wa hesabu amelifanyia upembuzi yakinifu..
 
Sasa mahakama ya mafisadi imfunge nani jamani? Mzalendo na mpenzi wa aliye juu anasemaje?
Nafikiri hadi 2020 ataweka record nyingi
 
Bunge hili hili linalojipendekeza?

Labda kama lifanye uchunguzi wa kuhalalisha wizi na kuisafisha ikulu
 
Kutetea usichokijua ni kazi sana. Eeeh Mola tusaidie hata yale ya kitaalamu sisi hutanguliza siasa. 1.5 T ni kiasi kikubwa cha feza na watanzania wanastahili kujua na kuelezwa kwa ufasaha na mtu anae aminika ukweli wa hili na kwa sasa ama warudi kwa CAG mwenyewe au mtangulizi wake. ACT imetimiza wajibu wake (wawe sawa au vinginevyo), CCM wametueleza hisia zao (Kwa sauti ya naibu supika) huenda ikawa ni haki yao lakini imeleta mkanganyiko zaidi, serikali inatakiwa ijibu-na ingependeza zaidi kikao kikawa LIVE.
 
Baada ya kufuatilia mabishano ya hawa wanasiasa wawili kuhusu 1.5 Tillion, kuna swali nikajiuliza.
Zito ametunga(ameuliza) swali kuwa 1.5T zimeenda wapi, na Mr Polepole amejibu kuwa hakuna pesa iliyopotea tena kwa hesabu nyepesi sana.
Sifahamu katika kulitunga hili swali Mr Zitto alifanya analysis ya kiasi gani na vilevile Mr Polepole katika kujibu hili swali tena darasani alifanya analysis ya kiasi gani?

Mimi nilichokiona ni kama ifuatavyo.
1; Swali alilotunga(alilouliza) Mr Zitto siyo sahihi kwa sababu hajafanya analysis ya kutosha katika kulitunga swali lake.
2: Jibu la Polepole siyo sahihi kwa sababu kajibu swali ambalo siyo sahihi .
JE IPI NI KAZI NGUMU KATI YA KUTUNGA SWALI NA KUJIBU SWALI?
Unatupotezea muda na kutupandisha hasira wee mpumbavu..., nenda FB ndiko kunakopatikana watu wa umri wako na akili zenu...
 
Baada ya kufuatilia mabishano ya hawa wanasiasa wawili kuhusu 1.5 Tillion, kuna swali nikajiuliza.
Zito ametunga(ameuliza) swali kuwa 1.5T zimeenda wapi, na Mr Polepole amejibu kuwa hakuna pesa iliyopotea tena kwa hesabu nyepesi sana.
Sifahamu katika kulitunga hili swali Mr Zitto alifanya analysis ya kiasi gani na vilevile Mr Polepole katika kujibu hili swali tena darasani alifanya analysis ya kiasi gani?

Mimi nilichokiona ni kama ifuatavyo.
1; Swali alilotunga(alilouliza) Mr Zitto siyo sahihi kwa sababu hajafanya analysis ya kutosha katika kulitunga swali lake.
2: Jibu la Polepole siyo sahihi kwa sababu kajibu swali ambalo siyo sahihi .
JE IPI NI KAZI NGUMU KATI YA KUTUNGA SWALI NA KUJIBU SWALI?

Kwa hiyo na C.A.G nae katunga ?
 
Hawa watoto wanaona Watanzania wajinga kweli. Wanafikiri hii ndio taarifa ya kwanza ya CAG Watanzania ndio wanaisikia.
Serikali itatoa taarifa zake za kina kwa umma pale itakapobidi. Huu msuli wa kuichafua serikali ni kazi bure na mwisho wake ni aibu kama ile ya tangazo la njaa, malipo ya dream line boing 787
Sio lazima ujibu au uchangie kila post humu..., hoja hii ya WIZI wa 1.5 Trillion si ya Zitto.., ni hoja ya OFISI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Mwambieni kiranja wenu wa malaika arudishe pesa zetu wee falaa... !
 
Back
Top Bottom