Recent content by luche

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Ndege za kivita za Israel zimeingia anga la Iran bila kuonekana

    Kwa Aina hiyo ya ndege sawa, maana hiyo ndege NATO yenyewe imeshindwa kuinunua. Na possible zikabakia mataifa mawili tu USA Na Israel
  2. L

    JamiiForums Tanzania Anguko la Kasri ya Mbinguni ya Wachina April 2018

    Magogoni ferry pale
  3. L

    JamiiForums Tanzania OPERATION GOTHIC SERPENT: Nguvu ya Itikadi, Imani na Ushujaa uliotukuka

    Habib sikujua kisa hiki mpaka Leo hii uliponifungua akiri. Na sijui ikiwa somalia itarudi kuwa moja
  4. L

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo: Viongozi wa dini na Serikali kaeni chini mzungumze nyote ni viongozi wangu nawaheshimu na kuwasikiliza

    Well said brother, ni watu wachache sana wanaweza kuona jambo kwa upeo huo. Wengi wapo kuwatukana Na kubeza viongozi wa dini kuwa wakosefu, ilihali kuna mkwamo wa Mahusiano.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Dawa ni kulishia most fugo kama Nguruwe, KUKU, Bata Nk.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kijasusi na jinsi yanavyofanya kazi

    Napenda sana kujua maarifa ya mashirika ya kijasusi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Zijue Teknolojia 10 zilizovumbuliwa na wanawake

    Kigodolo
  8. L

    JamiiForums Tanzania OSIRAK: Mungu wa wafu mikononi mwa Makomando wa Israel

    Bold be blessed mno.....
  9. L

    JamiiForums Tanzania OSIRAK: Mungu wa wafu mikononi mwa Makomando wa Israel

    Mm nausubiri sehemu ya pili
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

    Duuuu umeeleza jambo ambalo sikufahamu mazingira yaliyotekea tukio. Kweli yuko vizuri sana.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Aneyefahamu kuhusu ili kampuni linaoitwa TAHA jamaa wanausika na kilimo

    Mafunzo, fursa za masoko, ushsuri kwa mkulima na support ya pembejeo au technology. Ni wazuri lkn kuna kasoro chache kutoka kwa wafanyakazi wao kuwaacha wakulima solemba. Lkn management yao chini ya Jackline Mkindi inayo malengo mazuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    JamiiForums Tanzania HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yashusha riba kwa Benki kutoka 12% hadi 9%

    Wengi walishauri Bot kushusha riba, lkn pia kiwango kinachotozwa na mabank bado kipo pale pale. Bot walipaswa kuwadhibiti lkn pia ili hiyo Mikopo ipatikane all the time serikali irudishe accounts za ofs za umma kutunza PESA zao kwenye mabank binafsi pia. Lasivyo haitasaidia. Taarifa zilizopo ni...
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake wa kilokole(wafia dini) wana matatizo gani?

    Ni kweli Mkuu, wanaamini Ndoa zao ni Mungu anawajibika sio wao. Kuna shida ya mafundisho ya Ndoa na Mahusiano. Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  14. L

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Eti alikaa, yaani JAMII intelligence burudani sana.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi naamini Zitto Kabwe ni raia wa Burundi

    Umenichekesha sikutarajia ujibu hivyo Mkuu......
Back
Top Bottom