Zijue Teknolojia 10 zilizovumbuliwa na wanawake

Hii list bila kumtaja mwanamama mashuhuri MARIE CURIE unakuwa umekosea..
Huyu ameshinda tuzo ya nobel mara 2...kavumbua elements 2.
Na alikufa kwa sababu ya uvumbuzi wake alivumbua radioactive element kwahio wakati anazifanyia uchunguzi alikuwa exposed kwenye radiation akafa kwa leukemia
 
wanawake wote hao ni wa asilia za injee je bara afrika wanawake wamefikia wapi,wamevumbua nini kina mama zetu,afrika jamani lini tutafika ?
Mwanamke wa kiafrica aliekuwa akipatikana huko misri alingudua manukato na alikuwa wa kwanza kutengeneza manukato nadhani hata kioo kilitengenezwa african miaka hiyo .
 
Hii list bila kumtaja mwanamama mashuhuri MARIE CURIE unakuwa umekosea..
Huyu ameshinda tuzo ya nobel mara 2...kavumbua elements 2.
Na alikufa kwa sababu ya uvumbuzi wake alivumbua radioactive element kwahio wakati anazifanyia uchunguzi alikuwa exposed kwenye radiation akafa kwa leukemia
Yes,yes nakubaliana na wewe
 
Kuna mwanamke wa kitanzania anaitwa DR RAHAB LUBAGO ni mtengenezaji wa dawa ya vidonda vya tumbo inaitwa FITERAWA alikua akirusha matangazo kupitia Star tv.
 
SIJAONA HATA MWANAMKE WA KICHINA HATA MMOJA.KWELI WACHINA WEZI MNO WA TEKNOLOJIA.KILA KITU WANAIGA TOKA KWA WAZUNGU AFU HAWAWAPI CREDIT WAZUNGU
Kuna kitu watu wengi hawakijui. Wachina ni wajanjawajanja tu. Kuna baadhi ya vitu vichache vina asili ya kwao. Ukienda mbali zaidi teknolojia nyingi za Uchina ni za kutoka kwa wahamiaji wa kutoka Ulaya au USA.
 
UMENENA VEMA SANA MKUU..LABDA WATU WASIOJUA HISTORIA YA UVUMBUZI WA VITU MBALI MBALI VIKUBWA DUNIANI NDO WATAWASIFIA WACHINA.ILA JAMAA WALE NI WAJANJA WAJANJA TU WA KUDANDIA INNOVATIONS ZA WHITES
 
UMENENA VEMA SANA MKUU..LABDA WATU WASIOJUA HISTORIA YA UVUMBUZI WA VITU MBALI MBALI VIKUBWA DUNIANI NDO WATAWASIFIA WACHINA.ILA JAMAA WALE NI WAJANJA WAJANJA TU WA KUDANDIA INNOVATIONS ZA WHITES
Sahihi. Kuna baadhi ya matajiri au wale wanaomiliki teknolojia huamua aidha kuhamishia au kutoroshea Uchina kwa sababu mbalimbali. Zaweza zikawa za kutofautiana kimawazo, ushindani wa biashara, kutafuta na kupanua masoko au kupingana na sera za walipotoka. Mara nyingine huwa ni kwenda kutafuta vibarua wa bei rahisi au malighafi nafuu. Waende wapi? China. Ndiyo! Si ndiyo kuna hayo mahitaji jumlisha uwingi wa Wachina soko la kwanza litapatikana tu nknk.
 
Back
Top Bottom