Recent content by Lubhalisi

  1. L

    Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

    Ungekuwepo Kolimba ungemuuliza ungepata jibu au kamuulize Mrema na Lowassa utapata jibu
  2. L

    Itashangaza sana kama bado Lowassa na Sumaye wanaendelea kupokea masurufu ya Ustaafu

    U Unamwazo ya kijinga kweli! Stahiki zao zinatokana na helaza ccm aubwalipa kodi wa Tanzania ambao hawana vyama na pia hiyo ni haki yao kikatiba.Siyo vizuri kuongea ujinga humu watu,mimi nimekudharau kabisa
  3. L

    Nawapongeza Wananchi wa Kenya kwa kumuona Rais Magufuli kama Trump wa Afrika

    Jamiiforum siku hizi imekuwa ya hovyoo kweli! Wameingia manazi wapenda kujipendekeza!
  4. L

    Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

    Kwa Kwakweli ahamie chama cha kanda ya ziwa! Kila teuzi siku hizi kanda pendwa,Ccm oyeeee!
  5. L

    Umri wa Lowassa una utata mtupu. Eti ni mdogo kwa Kikwete?

    Dalili za kutangulia mbele ya haki! Ukianza kutabilia wenzako magonjwa ama kuona kama watakufa karibuni kama unavyofanya angalia sana! Hasa huyo jamaa Lowassa,sasa watu wataandika historia fupi ya Maisha yako!
  6. L

    Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Kabla ya kuwa mkuu wa jkt Mwamnyange alikuwa mkuunwa idara ya intelligensia kama Mabeyo,Mkapa akameua kwenda jkt, kikwete akampandisha kuwa cheif of staff baada lt genaral Idd Gahu,baada ya hapo akamteua kuwa Mkuu wa Majeshi! Kwahiyo si kweli kwamba hakuwahi kuwa Chief of staff. Na kwa taarifa...
  7. L

    Kwa mwendo huu sidhani kama kuna mtumishi wa umma ataichagua tena CCM

    CCM wataendelea kushinda tu,hakuna aisiyependa CCM! Chama kubwa na wafuasi wengi! Nchi inaendelea na tunazidi kusonga mbele kimaendeleo.
  8. L

    Hivi Jeshi la Tanzania lina Special Forces?

    Hakuna Tanzania ila Burundi,Rwanda,Uganda na Kenya ndiyo zipo,hebu kawaulize unachotaka! Hapa huwezi jibiwa maana hatunaga mambo hapa Watanzania! Kwani waliokutuma wamesema hapa utapata habari kama wapo? Lakini ushauri mwingine kaulize pale makao makuu ya jeshi upanga aua hata pale lugalo...
  9. L

    Rais Magufuli amuongezea Mkuu wa Majeshi, Gen. Mwamunyange mwaka mmoja

    Usihofu pot atakuwa Mkurya sisi ndiyo wenye jeshi,tumesubiriq muda kurudishiwa nafasi yetu mura!
  10. L

    Hivi kutozwa ushuru kwenye fukwe ya coco mamlaka husika zimebariki hili?

    Kwahiyo huyo jamaa ndiyo analonda gari yako! Mawazo mepesi sana! Jibu hoja ya mtoa mada! Mimi huyo jamaa mimekatalia mara mbili tena ya pili ni leo! Yaani mtu anaenda kununua mihogo,jamaa anaibuka na kimashine chake anataka elfu moja,kaja kunidai leo nikamkatalia akaniambia ni utaratibu...
  11. L

    Watoto wa Mawaziri wang'ara bodi ya mkopo wakulima walia

    Post ya hovyo kabisa, Post ya hovyo kabisa,nimeona nikadhani ni wengi tena wapwndelewa,kumbe ni mmoja tena hatujui hata kama watoto wa ndalichako wanatumia ubini wa mama yao wala siyo wa baba yao kama ilivyokawaida! Huu ni ukulupukaji wa hali ya juu sana
  12. L

    Vodacom mnakera na meseji zenu mnazotuma hovyohovyo kwa wateja kwa kutumia namba 15778

    Jamani nachukizwa sana na message za vodacom,natumiwa message za bahati nasibu,message ingiingia nadhani ni jambo la muhimu,nakuta sms eti number yangu imechaguliwa kushinda,I am not interested mnaniletea usumbufu! Watumieni wanaotaka au wanaocheza hizo bahati nasibu zenu! Naamini huwa mnapita...
  13. L

    Sisi wataalam wa Tanzania tumesikitishwa na kauli yako Rais Magufuli

    Unajua unacho kiunga mkono? Yaani uwape wageni watengeneze mfumo nyeti kama huo! Ili baadae wakudukue? basi kama sisi watz hatuwezi kitu basi tuombe na viongozi wote watke huko na hata wewe kumbe unaina hufai ila warwanda ndiyo wanafaa!
  14. L

    Sisi wataalam wa Tanzania tumesikitishwa na kauli yako Rais Magufuli

    Kuwapa wataalamu wa nchi nyingine,kutengeneza mfumo wetu tena kwenye shirika la serikali! Ni jambo la hatari sana tutadukuliwa mpaka tukome.
Back
Top Bottom