CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
Kwa kila hali, kwa kila namna wafanyakazi wa umma nchi hii
wameshachoka na kilichobaki ni kufanya maamuzi magumu tu.
1.Nyongeza ya mishahara hadi leo ni kizungumkuti.
2.Ishu ya kupanda madaraja nayo imekuwa shida.
3.Posho nazo ni kizungumkuti.
Ikumbukwe hali ni mbaya, maisha yamepanda bei kama kawaida.
Hadi sasa nimeona wafanyakazi kadhaa waliochagua CCM mwaka 2015 wakijuta na kujilaumu kwa maamuzi yao.
Kwa mwendo huu sioni mfanyakazi wa umma atakayeichagua tena CCM.
[HASHTAG]#mwafaa[/HASHTAG]