Recent content by lubazi

  1. L

    Google translate turns culinary festival into clitoris festiival

    Thanks to a Google Translate error, a culinary festival that takes place in northern Spain is receiving some odd attention. In the Galician town of As Pontes, a festival intended to celebrate a leafy green vegetable known as the grelo has been promoting itself as a "clitoris festival." As...
  2. L

    Wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro!!

    umesahau kuuliza kwanini ndiyo walikuwa watu wa kwanza kimaendeleo kabla ya wengine nchini. kuhusu rangi ya meno na macho sio wote wapo hivyo kwasababu pamoja na maji kuchangia ipo katika mfumo wa genes za kila mmoja mmoja kama Kuna watu warefu na wafupi wapo na wanene na wembamba na weupe na...
  3. L

    Mtego mkubwa CHADEMA, wameatamia bomu, kulipuka 2020

    mwenye jukumu la mwisho katika maamuzi na utekelezaji wa mipango mbalimbali ya halmashauri ni mkurugenzi au mwenyekiti ?
  4. L

    Pictures of ongoing Tanzania's SGR construction

    Kwahiyo tanzania wote ni wavivu WA kazi? kenya hakuna wavivu ?kama sio wale wazungu waliobaki baada ya uhuru kuendeleza kampuni na viwanda vyao kenya mungekuwa wapi leo?mukavunja Eac kijanja mukabaki na mali za Eac. wakati mulipatwa na njaa chakula mulipata wapi Kenya kama sio kuokolewa na...
  5. L

    Magufuli kumwalika TB Joshua ni mwanzo mpya kwa nchi

    wakati WA mutharika demokrasia Malawi ilikua tofauti wakati WA kamuzu banda,kuhusu maaskofu muhimu vile vile kuangalia je wanaupako (anointed) hao maaskofu.
  6. L

    Magufuli kumwalika TB Joshua ni mwanzo mpya kwa nchi

    wakati WA mutharika demokrasia Malawi ilikua tofauti wakati WA kamuzu banda,kuhusu maaskofu muhimu vile vile kuangalia je wanaupako (anointed) hao maaskofu.
  7. L

    Magufuli kumwalika TB Joshua ni mwanzo mpya kwa nchi

    Binafsi nilikuwa supporter WA mabadiliko,lakini yote yaliyotokea tumeyaona ILA maisha baada ya uchaguzi Ni muhimu Sana kwani nchi Ni zaidi ya vyama na viongozi,kwani nchi Ni watu na ardhi kwa maana hiyo watu wakipotea inakuwa sio nchi tena hivyo amani Ni kipaumbele cha kwanza na isitoshe haki ya...
  8. L

    Regina Lowassa - Shujaa wangu

    Nimejuzwa kuwa mama Regina alikuwa mwalimu Ilboru sekondari.Ana hekima Sana halafu ana udhubutu WA hali ya juu kweli anahaki ya kupewa ubunge viti maalumu.
  9. L

    Asili ya jina Dar es Salaam

    Wanasema maanake Ni house of peace kwa lugha ya kiarabu. wageni WA kwanza kufika pwani ya afrika mashariki walikuwa waarabu.
  10. L

    Shaka Ssali: Tatizo ni wananchi sio watawala

    shaka sali amekaa Tanzania analijua hili.
  11. L

    Lowassa umetuangusha Ifakara kwa kushindwa kufanya mkutano

    Siku mbili zilizobaki mzee atamaliza kweli kampeni, unguja ameenda?pwani ameenda? Na jangwani ndiyo anafungia kampeni tarehe 24.
  12. L

    Magufuli aumbuka Mbezi Louis (Mbezi Mwisho). Akosa watu, akasirika na kuondoka

    Inasikitisha lakini ndiyo hali halisi hakuna namna Ni ccm ifutwe Tu. inasikitisha sababu wanatumia nguvu nyingi wakati wanajua hali halisi kuwa watu wamechoka kudanganywa
  13. L

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Waandishi wa habari kwa kawaida wanataka kuburuza watu hivyo lowasa kagundua janja yao amejibu kifupi kwa ufasaha ,yeye sio mwanasiasa Ni mtendaji
  14. L

    Aliyemdhalilisha Mama Lowassa akimbia nchi

    kwa sababu huyu kijana ameonyesha katabia ka kudharau mpaka mama zake ukawa tunaomba wanawake wote wamuunge mkono mama Regina siku ya jumapili tarehe 25 kwa kuweka tiki kwa lowassa
  15. L

    Ujue baadhi ya utajiri wa Nchi ya Tanzania

    utajiri mkubwa kuliko yote Ni kukubali kudanganywa miaka nenda miaka Rudi.
Back
Top Bottom