JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Laana ya roho mbaya na Dhulma
kama huna jibu ni bora ukakaa kimya kuliko kuionesha dunia aina ya malezi uliyo pata utotoni.JF ni sehemu watu hutafuta elimu kwahiyo ni wajibu wa kila mwanachama kuijengea heshima JF na siyo kukurupuka na kutoa majibu ya kitoto.