Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Mbona nyie ccm mmekosa jibu la rushwa kwa zaidi ya miongo miwili?
Ajabu kwa Lowassa kuwa na jibu kwa dakika moja.
 
I wonder kama angehojiwa na Tido ! ........Yusuf Makamba aliomba poo !

Tido ni noma.
Alimtoa shoo Sumaye akakiri mara mbili mbili kuwa Ukawa hakuna viongozi wazoefu.
Uliona pia alichomfanya Dr. Silaa siku ile. Duh!
 
Weka swali na majibu aliyotoa

Umemjibu vyema. Kuna watu wanakuja kuandika vitu hapa kama vile wamemsikiliza wao tu. Hivi kuna mwenye akili timamu anaamini magufuli anaweza kumfunga kikwete? Ccm kweli mtaji wake ni wajingawajinga
 
Team el kwisha kazi,,,,, waende wakaajilriwe kulisha mifugo kwenye ranch ya mzee
 
lowasa alivyojibu inatooooosha sana,kimshahara nimekivuta kwa nmb mobile SAA hz,na kura yangu,wife na mtoto waa kaka yangu zote kwa lowasa.wanafunzi wangu zaid ya nusu kwa lowasaaaaaaaa
 
Waandishi wa habari kwa kawaida wanataka kuburuza watu hivyo lowasa kagundua janja yao amejibu kifupi kwa ufasaha ,yeye sio mwanasiasa Ni mtendaji
 
Kanone uko sahihi sana.haonyeshi katika majibu yake kuwa ana nia ya dhati kabisa kuja kuwatumikia wananchi. Anatupotezea muda tu ili mradi ajenda yake ya kushutumiwa ya ufisadi tayari imezikwa. Mission accomplished.
Na ndio maana hakutaka midahalo ili kukwepa mambo kama haya

Nimemushanga sana eti anaomba kurudi kwenye vitabu akasome ufisadi? Aibu sana
 
inaonekana uwezo wenu wa kuelewa ni mdogo sana interview ilikuwa shortanswers questions kutokana na muda wa kipindi ameyajibu maswali kwa kifupi na ufasahaa kabisa,tatizo la hizo elimu zenu nusunusu mlizopata ndani ya utawala wa ccm ndio ina wafanya msielewe that is why tuna sema kipaumbele chetu ni ELIMU,ELIMU ELIMU Ili kuepuka taifa lenye wajinga wa type yenu.
Wewe Elimu yako iliyo bira na nzima (za wenzako nusunusu.)umeipata katika utawala wa nani??!!!!
 
Bado hamjanishawishi kubadili msimamo wangu kwake.
Kura yangu, familia yangu nzima na majirani wooote tunamuunga mkono Lowassa.

Na mungu atamsimamia, atashinda tu.!

Chadema asilia na ukawa asilia tumeshasema na Dr Slaa alishatuasa kuwa Lowasa hatufai kuwa rais. Fisadi kama wanavyosema hawez ingia ikulu.
Kura zet zooooote tunampa Magufuli
 
Back
Top Bottom